Ugonjwa mpya wa kutokwa vipele

Eti kuna hali mpya imeibuka inawatokea watu wanatokwa vipele kama tetekuwanga na vinawasha? Inatokea kwa baadhi ila rika zote
Chanzo ni nini?

Na tiba je?
Watu gani

Vipele sehemu gani

Vipele Rangi gani

Muwe manaandika baada ya hangover kuisha
 
Tafuta tu dawa inaitwa calamine lotion uwe unapaka asubuhi na usiku eneo lenye upele.utatoweka wenyewe.
Dawa inauzwa pharmacy
Mkuu nikiiangalia google naona lebel nyingi nyingi zote zikiandikwa calamite lotion, unaweza nifanyia favour ukanitumia picha ya hiyo ulotumia hata kama ni kutoka google
 
Mkuu nikiiangalia google naona lebel nyingi nyingi zote zikiandikwa calamite lotion, unaweza nifanyia favour ukanitumia picha ya hiyo ulotumia hata kama ni kutoka google
Nenda pharmacy ipo kwenye kichupa kama zile dawa za kunywaa ila material plastic
brand ziko nyingi kwa nchi tofauti..utaangaliaje google?
 
Back
Top Bottom