Au kawe peke yakeKwahiyo ugonjwa upo daslama tuu!.?
NtaitafutaHalafu mimi vilitoka sehemu za ndani, na mikononi, ila nilikuwa nikivaa shati la mikono mirefu haionyeshi.
Sahv ngozi imesharudi safii, jaribu kutumia Calamine lotion.
Tungejua hata chanzo ni niniKweli upo dar, mimi ndgu zangu watatu siku za karibuni waliupata.
Ingesaidia sana , mmoja kwake ulikuwa mkali zaidi ametumia hela kutafuta madawa na hospitali karibia laki mbiliTungejua hata chanzo ni nini
Waliochanjwa wanasubiri wasiochanjwa waathirike
Wasiochanjwa wanasubiri waliochanjwa wapate madhara
Kwa bahati nzuri sana sisi waganga wa kienyeji hatubagui wote
maelezo hayatoshi.Eti kuna hali mpya imeibuka inawatokea watu wanatokwa vipele kama tetekuwanga na vinawasha? Inatokea kwa baadhi ila rika zote
Chanzo ni nini?
Na tiba je?
Je huo ugonjwa unaweza kuupata kwa kugusana na mwenye nao????Halafu mimi vilitoka sehemu za ndani, na mikononi, ila nilikuwa nikivaa shati la mikono mirefu haionyeshi.
Sahv ngozi imesharudi safii, jaribu kutumia Calamine lotion.
Sidhani, me ninaishi na wife na tulikuwa tunalala pamoja na hakupata.Je huo ugonjwa unaweza kuupata kwa kugusana na mwenye nao????
Hata mimi umenipata nimepata tabu sana.Eti kuna hali mpya imeibuka inawatokea watu wanatokwa vipele kama tetekuwanga na vinawasha? Inatokea kwa baadhi ila rika zote
Chanzo ni nini?
Na tiba je?
Sa video gani mkuu?maelezo hayatoshi.View attachment 1936171
Pole mkuu..tabu yake si kidogo hasa ikifika usikuHata mimi umenipata nimepata tabu sana.
Ila naona umeanza kupungua
Sawa, sababu mimi pia mchumba wangu umemuanza leo asubuhi umetapakaa mapajani na kifuani.Sidhani, me ninaishi na wife na tulikuwa tunalala pamoja na hakupata.
Waliochanjwa wanasubiri wasiochanjwa waathirike
Wasiochanjwa wanasubiri waliochanjwa wapate madhara
Kwa bahati nzuri sana sisi waganga wa kienyeji hatubagui wote
Hatari sana hasa unashambulia sehemu laini za mwili.Pole mkuu..tabu yake si kidogo hasa ikifika usiku
Mitaa yote yenye pisi kaliNi mitaa gani hiyo tusisogee?