Ugonjwa mpya wa kutokwa vipele

mk20

New Member
Aug 21, 2021
2
45
TAFUTA LINDANE CREAM AU LOTION JIPAKE BAADA YA KUOGA ZINGATIA USAFI WA NGUO PIA JITAHIDI USAFI WA SHUKA LA KULALIA HADI UTAKAPO PONA ..UJU UTUPE MREJESHO
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,718
2,000
Hapana hapana hapana mkuu..ni ugonjwa hatari na hauna uhusiano na Hali ya hewa.Mimi imenisunvua kuanzia mwezi wa sita Hadi sasa ndy napona tena nimeenda hospitali mara mbili

Hospital Walikuwa na mtazamo wako nikapewa dawa ya kupaka Tu lkn Hali ilizidi kuwa mbaya..Mara ya pili ndy wakawa serious nikapimwa Hadi damu na ukimwi juu nikapewa dozi ya maana ya wiki 16 now nipo wiki ya 3 lkn nimeshaanza kupona..kinachonisumbua ni madoa Tu maana Mimi ni mweupe sasa hivi sivai 'kauwoshi'

Unaambiwa usiombe huu ugonjwa ukimbilie kwenye pumbu utaimba haleluya..nilikuwa najikuna usiku wa manage Hadi napanic..ni ugonjwa hatari sn
Kuna unaofanana na huo wako chanzo kikiwa hizo sababu nilizotaja..
 

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
3,866
2,000
hivyo vipele vilimpata rafiki yangu ye alienda kwa daktari wa ngozi akapewa dawa ya vidoge na lotion ya kupaka nadhani inauzwa elfu 15 na akaambiwa hivyo vipele ni ugonjwa na unaambukizwa kwa kushare mavazi, lodge kama mashuka ni machafu na pia ukiwa kwenye msongamamo wa watu ukigusana na mwenye vipele na pia huwa vinawasha sana wakati wa usiku

Basi nimeijua sababu
 

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
8,641
2,000
Timia B B E ni dawa ya kujipaka maramoja kwa siku, paka asubuhi baada ya kuoga na mwili kukauka, usioge tena jioni wala usipake, zingatia ni mara moja kwa siku.
Hii ndio dawa niliyotumia Mimi na familia yangu wote tukapona inaitwa BBE ni nyeupe ya majimaji ukijipaka utadhani umepaka uji wa chaki mwilini
 

maadui

Member
Nov 27, 2017
71
125
Huu ugonjwa me unanipata nikikaa dar au mtwara niligundua tatizo ni maji jaribu kueka detol kwenye maji unayoogea itaweza kusaidia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom