Ugonjwa kwenye papai

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
506
272
1259b6447d5d6603e4c7437f3d342336.jpg


7d03ce007fcec40a2ad3a742422da65f.jpg


Naombeni msaada. Huu ugonjwa umeipata mipapai yangu. Dawa gani nitumie? Asante
 
Inawezekana kuna upungufu wa calcium ndo maana majani yanaelekea kuwa njano, na pia kuna mashambulizi ya wadudu. Ngoja wataalamu waje
 
Cheki chini ya jani huenda kuna wadudu wanafyonza majani mpaka yanasinyaa Kwenda chini,ila sio mosaic sababu majani yanarangi moja ingekua virusi ungeona strips za njano na kijani kwenye majani
 
Nyuma ya hilo jani kuna wadudu. Huo Ugonjwa au wadudu wameenea sana ukanda wa pwani. Ziko pesticides ndani ya wiki tu majani yanakua poa. Jina nimesahau chuma jani nenda duka la pembejeo. Usipotibu haraka wadudu wanasambaa haraka sana na huanza kuonekana bila shida weupe hivi na wanaruka zaidi asubuhi na mipapai inakauka fasta sabab wanafyonza majani na eneo zima la mti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom