Baba Mtu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2008
- 870
- 168
Islamophobia ni ugonjwa hatari sana. Ugonjwa huko siku nyingi sana ila kwa miaka ya hivi karibuni umekuwa ukikua kwa kasi ya ajabu sana. Aliyeathiriwa na ugonjwa huu huwa anaogopa UISLAM na vitu vyote vinavyohusiana na UISLAM. Mfano, mtu anayeumwa ISLAMOPHOBIA akiona mtu amevaa kofia ama kanzu ama hijabu, mtu huyu huwa anaogopa sana na huwa anateseka sana katika nafsi yake. Au mgonjwa wa islamophobia akisikia kuwa waislam wanataka kuanzisha mahakama ya kazi basi yee huwa hapendi na maumivu humsonga moyoni mwake.
Wagonjwa wa islamophobia huwa hawapendi kuona uislam ukienda mbele ama sharia za kiislam zikifuatwa.
Mengi kuhusu ugonjwa wa ISLAMOPHOBIA soma hapa:
1. Islamophobia - Wikipedia, the free encyclopedia (kiswahili soma hapa: Google Tafsiri)
2. Islamophobia: making Muslims the enemy - Google Books
3. Google Tafsiri
4. Islamophobia
5. Google Tafsiri
6. Google Tafsiri
7. Islamophobia: making Muslims the enemy - Google Books
8. Islamophobia