Ugonjwa hatari kimahusiano 'technociosis'

akazuba

JF-Expert Member
May 16, 2014
533
484
Kuna ugonjwa hatari umeingia kwenye ndoa, makazini na watu walio kwenye mahusiano. Unaitwa 'technociosis', huambukizwa na kirusi hatari aina ya 'smartvindrom9' Mara nyingi mgonjwa huonyesha dalili zifuatazo:

1. Hukosa hamu ya kuongea.
2. Hucheka peke yake.
3. Hujitenga na mwenza wake hasa wanapokuwa na kamzozo.

4. Hukosa hamasa ya kutekeleza majukumu yake ya kiofisi.

5. Hupoteza umakini awapo barabarani hasa kwenye foleni mpaka asituliwe kwa honi.

6. Huwa mbea kutaka kujua kila kitu na kujitia ujuaji kumbe ame Google.

Je wewe haka ka ugonjwa kamesha kupata?

Angalizo: naambiwa wengi waliosoma hapa wamepita kimya kimya why?
 
Kuna ugonjwa hatari umeingia kwenye ndoa, makazini na watu walio kwenye mahusiano. Unaitwa 'technociosis', huambukizwa na kirusi hatari aina ya 'smartvindrom9' Mara nyingi mgonjwa huonyesha dalili zifuatazo:

1. Hukosa hamu ya kuongea.
2. Hucheka peke yake.
3. Hujitenga na mwenza wake hasa wanapokuwa na kamzozo.

4. Hukosa hamasa ya kutekeleza majukumu yake ya kiofisi.

5. Hupoteza umakini awapo barabarani hasa kwenye foleni mpaka asituliwe kwa honi.

6. Huwa mbea kutaka kujua kila kitu na kujitia ujuaji kumbe ame Google.

Je wewe haka ka ugonjwa kamesha kupata?
Aisaee kweli Ugonjwa huo !! Tena una MaGroupu mengi.... na mawazo yote yapo kwenye charger !!
 
Back
Top Bottom