Ugomvvi Arusha kati wamasai na waarusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugomvvi Arusha kati wamasai na waarusha.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Sep 24, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Habari zinazinifikia sasahivi zinasema kuwa wamasai na waarusha wanapigana kugombea eneo huko oldonyasambo, amapo ndani ya eneo hilo kuna shule wanafunzi wameshindwa kutoka kutokana na mapigano hayo.

  Habari zinaendelea kusema kuwa shule hiyo ndiyo chanzo cha ugomvi huo baada ya kila upande kusema ndiyo wamiliki.

  Polisi na FFU wameshindwa kuwaamulia,mapigano bado yanaendelea mpaka sasa.
   
 2. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dah! hiyo noma mtu wangu, mpaka wale policcm wa mwangosi wameshindwa!
  ILA INGEKUWA CHADEMA UNGUKUTA WASHAUA MTU.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Hii habari bado ya kusadikika, hebu ongezea ongezea tupeleke kamera zetu kule mkuu
   
 4. a

  adolay JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli kunamapigano, ni matokeo ya uzembe mkubwa wa serikali ya ccm kushughulikia kero na matatizo mbalimbali ya watanzania.

  Tunahitaji uwajikaji wa viongozi ulionatija yaan kwa vitendo sio siasa za kitapeli majukwaani.
   
 5. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  unataka niongeze nini mkuu.
   
 6. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Barabara ya namanga imefungwa
   
 7. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  yamakuwa hayo tena?? wamasai na waarusha mbona ndugu moja?/
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Samahani nina mashaka na usahihi wa habari hii!
  1. Ungesema Wamasai wamevamia eneo na Waarusha na kuwafurusha baru, hapo labda ndio ningekuelewa!.
  2. Tangu lini Waarusha wana jeuri ya kupigana?.
  3. Kwa nguvu zipi walizonazo Waarusha?. Kwa msiowajuu Waarusha, wana koo nne tuu, Laizer, Mollel, Kivuyo na Lukumay!.
  4. Kwa silaha gani wanazotumia kuwakabili Wamasai?.
  5. Kwa utamaduni gani wa mapambano, walionao hao Waarusha?.
  6. Tangu lini Waarusha wakapigana kugombania Aridhi huku kila siku wakiitoa Sadaka?.
  7. Kama ni Wamasai na ni kweli wameamua kufanya kweli, FFU gani watathubutu kutia pua?!.
  8. Kwa msiofahamu, miaka ya nyuma, Ijumaa moja, Viongozi 4 wa kabila la Wamasai waliwahi kuwaamrisha Morani wao, kuchoma ofisi ya CCM na nyumba ya Mwenyekiti wa kijiji fulani aliyewaletea za kuleta!.
  9. Serikali iliwakamata hao viongozi Wanne wa Kimasai na kuwashikilia Polisi Central ya pale Arusha.
  10. Jumatatu asubuhi, jiji la Arusha lilifurika morani wa Kimasai waliokuwa wameshapandisha mori, midomo yao myekundu kwa kunywa damu mbichi!, waliizingira ofisi ya Mkuu wa mkoa na polisi, mwakilishi wao akaitwa ndani, akagoma, wakamuamuru mkuu wa mkoa atoke nje, by then alikuwa Ole Njoolay, wakazungumza nae Kimasai kuwa wale viongozi wao wanne wanaoshikiliwa polisi, waachiwe that very moment, bila mjadala wala majadiliano yoyote, vinginevyo maroni hao, wangeigeuza mji wa Arusha dimbwi la damu within no time!. Njoolay alitii amri there and then, wale wazee waliachiwa na kuletwa pale, ndipo msafara ulitawanyika na walipofika Masaini, ngombe wengi waliuawa kikatili ili kutimiza masharti ya kutuliza ile mori ya Kimasai!.

  Pasco.
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Hafadhali ya mapigano haya kuliko ya wale wengine.
   
 10. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  samahani Pasco

  hii inapaswa kuwa thread nyingine kabisa
   
 11. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nijuavyo Maasai = Muarusha....!!
  Sasa hapo nachanganyikiwa kidogo...........!!:frusty:
   
 12. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  kumbe wamasai ni noma eeh!
   
 13. by default

  by default JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hadithi yako ilikuwa mzuri japo imekwisha haraka sana.bila kukosea inatufunza kusichokoze maasai.ndo maana wanatembea na sime bila mada kesi jaribu wewe polce ccm wakudake
   
 14. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,939
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  wamasai na waarusha ni makabila mawili tofauti ila wanasikilizana,soma historia zao utawaelewa.
   
 15. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  mkuu Pasco umepotoka.SWALI DOGO TU KWAKO.,mbona Ukienda kwa wamasai kuna Laiser na Mollel? NAOMBA UFAFANUZI THEN NTAKUTOA TONGOTOTO juu ya matabaka haya ya Maasai yaani WAARUSHA NA WAMASAI
   
 16. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ok ngoja nfatilie kwa karibu zaidi.....!!!
   
 17. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mkuu
  Pasco,
  Mleta habari kaleta anachokijua,sasa iweje upinge taarifa aliyotoa mtu ili utuaminishe uyasemayo ambayo yako nje ya mada,hebu mpe uhuru mleta mada mpaka pale taarifa itakapoonekana ni sahihi au si sahihi,BTW waarusha na wamasai tofauti yao ni ndogo sana na kama ni mamorani hata waarusha wana mamorani.
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  mkuu Pasco ni mpotoshaji mkubwa sana na huwa analazimisha idea zake without facts,wamasai na waarusha tofauti yao
  ni ndogo sana,hizo koo zipo pande zote,wamasai na waarusha kiasi flani hata lugha wanasikilizana,kama ni mamorani
  hata waarusha wana mamorani na mila zao zipo kama za kimasai kwa kiasi flani
   
 19. kelao

  kelao JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 4,846
  Likes Received: 1,239
  Trophy Points: 280
  mkuu hiyo shule inayogombewa ni sc au primary? Na ni mali ya serikali au nani? Jaribu kuchunguza utuhabarishe mkuu
   
 20. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Kumbe polisi na FFU wanaweza kudhibiti maandamano tuu!!!!
   
Loading...