Ugomvi wa Mwana FA na Commando Jide uliisha?

Hizi beef nyingi (si zote) ni businesswise sio personal kama wengi tunavyodhani. Sasa angeacha kushiriki hayo matamsaha angepata wapi pesa na yeye kazi yake ni muziki!

Uko sahihi na ndio hoja yangu

Kwanini yeye alikuwa ana mind Mwana FA akishiriki matamasha ya Clouds , alitaka Mwana FA asuse kufanya kazi na Clouds kwa kuwa Clouds wamegombana nae yeye wakati yeye alipokuwa kwenye good terms na Clouds akina Sugu hawakuwa na good terms na Clouds na haikuwa issue kwako

Siku zote usilazimishe Adui yako awe adui wa Rafiki zako pia kwa kuwa huna Mamlaka ya kumchagulia Mtu Rafiki wala Adui
 
Nakumbuka Mwanafatuma alitumbuiza viti vitupu siku ya tamasha lake
 
Ni kwamba Jide alikuwa na tamasha na FA alikubali kushiriki
Lkn dk ya mwisho kbs paaap Jide anasikia mwanaFA nae anaonyesho siku moja nae huku clouds wakiwa wadhamini
Hata wewe ungejisiaje
Jide alimind hatari sema uzuri alipa watu nyomiiiiii
Hlf mwana FA akachemka
Yote heri wameshapatana sana imebakia story
 
Back
Top Bottom