Hizi beef nyingi (si zote) ni businesswise sio personal kama wengi tunavyodhani. Sasa angeacha kushiriki hayo matamsaha angepata wapi pesa na yeye kazi yake ni muziki!
Uko sahihi na ndio hoja yangu
Kwanini yeye alikuwa ana mind Mwana FA akishiriki matamasha ya Clouds , alitaka Mwana FA asuse kufanya kazi na Clouds kwa kuwa Clouds wamegombana nae yeye wakati yeye alipokuwa kwenye good terms na Clouds akina Sugu hawakuwa na good terms na Clouds na haikuwa issue kwako
Siku zote usilazimishe Adui yako awe adui wa Rafiki zako pia kwa kuwa huna Mamlaka ya kumchagulia Mtu Rafiki wala Adui