Ugomvi wa jide na clouds umefika huku?

thedaydreamer

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
372
88
leo asubuhi wakati wa BP ulipigwa wimbo wa ben paul jikubali, kwenye verse ya kwanza kuna maneno yalifichwa, ikabidi niutafute huo wimbo nisikilize vizuri sehemu gani ni offensive, kwa namna kumbukumbu yangu inaniambia sehemu iliyofichwa ni aliposema unaweza kuwa jay dee. Sijui kama kuna mtu mwingine alisikia na pia kama ndo hivyo wameamua je wanayo mamlaka hayo kuedit wimbo wa mtu ilhali hajatukana?
 
Hata kama ila hii sasa ....
Wanatia huruma ...
 
Et mpka presenter an beef na jidee hakika umaskin n system iliyoandaliwa kama mtaro ukiingia tuu ujue umeishaa
 
leo asubuhi wakati wa BP ulipigwa wimbo wa ben paul jikubali, kwenye verse ya kwanza kuna maneno yalifichwa, ikabidi niutafute huo wimbo nisikilize vizuri sehemu gani ni offensive, kwa namna kumbukumbu yangu inaniambia sehemu iliyofichwa ni aliposema unaweza kuwa jay dee. Sijui kama kuna mtu mwingine alisikia na pia kama ndo hivyo wameamua je wanayo mamlaka hayo kuedit wimbo wa mtu ilhali hajatukana?
Ndio wajua leo tangu nyimbo imetoka ile sehemu anayotajwa jaydee huscratch iwe audio au video kwenye station yao.
 
Back
Top Bottom