Ugomvi mwingine ni majanga!

Examples of this form of articulation are found in the hip, where the round head of the femur (ball) rests in the cup-like acetabulum(socket) of the pelvis; and in the shoulder joint, where the rounded upper extremity of the humerus (ball) rests in the cup-like glenoid fossa (socket) of the shoulder blade.[2] (The shoulder also includes a sternoclavicular joint.)
25 When the man saw that he could not overpower him, he touched the socket of Jacob’s hip so that his hip was wrenched as he wrestled with the man.
Kugelgelenk.jpeg

kutoka: 22D Arnold st.
 
Naisoma sana biblia. Nakumbana humo na vichekesho, matusi, visa na mikasa na vingi visivyoingia akilini na vichache sana vyenye maana.

Jamaa alishika uvungu upi?
Hata kama alishika huo uliomo akilini mwako kwani babawako ukiwa mdogo akuwahi kukutawaza akashika uvungu uliomo akilini mwako. Acha ujinga wewe. Akili zanu huwa zinawaza ngono tu. Ndio maana huwa mnalundikwa watatu ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama walikua wanamieleka so akmshika nyuma ya paja na kufanya aanguke chini na kuvunjika nyonga sababu alikua anaelekea kumshinda.

Najua ulitaka kusema kamshika sehemu ya haja au makalio..hiyo ndo point yako.na inashangaza kutwa anahangaika kusoma biblia ili tu upate cha kudhihaki kuhusu ukristo..una kazi sana..ukristo ulishindwa kuvunjwa na wanazi uvunjwe na we kigagula.

Ulidhani tutakuja kutukana hapa tuanze malumbano wala..imekula kwako
Utu uzima bila busara ni bure kabisa
MTU asubuhi na mapema hiki ndo unachowaza..dhihaka ugomvi dhidi ya jirani zako..ndio matokeo mnageuka magaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mama, unajua hiki kibibi kilijua kuna watu watakuja kuanza kukashifu uislam ili kipate kilichotarajia sasa imegeuka tofauti na hakijapata any support ndo maana kimebaki alone!
Naomba sana wachangiaji wengine wasishambulie dini nyingine bali tumjibu bibi kama bibi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna tafsiri hapo nimeweka na mistari ya biblia. Tafsiri wewe.

Usijidai mjuaji, unadhihaki tu, paja ni la nani? Si vyema ukudhihaki wakati aujui lolote....... unasoma mistari inayo support na kushibisha dhihaka yako bile kuelewa na kurukia mambo
 
Naisoma sana biblia. Nakumbana humo na vichekesho, matusi, visa na mikasa na vingi visivyoingia akilini na vichache sana vyenye maana.

Jamaa alishika uvungu upi?
Faiza unapenda sana ligi ?! . Natamani kukutana na wewe lakini ndiyo haiwezekani, Mimi ni mzee najifia huku kijijini . Kikubwa vilivyoko kwenye vitabu vyetu hivi vya Imani (Bible & Qur'an ) visikuchanganye na hamuokoi mtu kutoka dhambini, bali imani na matendo yako kwa Mwenyezi Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama walikua wanamieleka so akmshika nyuma ya paja na kufanya aanguke chini na kuvunjika nyonga sababu alikua anaelekea kumshinda.

Najua ulitaka kusema kamshika sehemu ya haja au makalio..hiyo ndo point yako.na inashangaza kutwa anahangaika kusoma biblia ili tu upate cha kudhihaki kuhusu ukristo..una kazi sana..ukristo ulishindwa kuvunjwa na wanazi uvunjwe na we kigagula.

Ulidhani tutakuja kutukana hapa tuanze malumbano wala..imekula kwako
Utu uzima bila busara ni bure kabisa
MTU asubuhi na mapema hiki ndo unachowaza..dhihaka ugomvi dhidi ya jirani zako..ndio matokeo mnageuka magaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
achana naye huyo bibi ana matatizo sana.... alafu nasikia ni kizee cha makamo kabisa ila kina mambo yakipuuzi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama unaona mistari ya biblia ni dharau inabidi ujiulize ni Mungu kweli aliyoandika hiyo comedy?

Nambie mstari upi ni wangu hapo?
Inategemea na tafsiri yako !! Ikilenga kujifunza utaelewa lakini ikilenga kutafuta dosari hutaelewa.

Katika Ukristo kuna madarasa ya kujifunza na kuelewa. Siyo kukariri . Kwa hiyo jiunge madarasa haya utauliza maswali yako humo na utaelewa. Humu Jf ni kuzodoana na hutaelewa chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mama unakoelekea siku izi, Mungu akusaidie tu mana sio yule niliyemfahamu kipindi kile. Naisi kama wamekufanyia Cloning,
 
Nimejifunza, binaadam anaweza kupigana na Mungu na akamshinda, au siyo? Kama siyo, nipe wewe mafundisho ya hicho kisa. Mimi kimenifurahisha sana na kunichekesha.
 
Faiza unapenda sana ligi ?! . Natamani kukutana na wewe lakini ndiyo haiwezekani, Mimi ni mzee najifia huku kijijini . Kikubwa vilivyoko kwenye vitabu vyetu hivi vya Imani (Bible & Qur'an ) visikuchanganye na hamuokoi mtu kutoka dhambini, bali imani na matendo yako kwa Mwenyezi Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tujuze na uzee wako, hicho kisa kinafundisha nini? Ni tukio la kweli hilo lililorikodiwa kwenye biblia au ni hekaya tu kama ya abunuasi?
 
Ana matatizo kichwani huyu.na hata kama mtu amekosa la kufanya ndo afanye hili..haingii akilini
Binafsi nimejikuta nasikitika tu, kwani hawa wenzetu wanapendaga kushindana na kutafsiri wanavyoweza wao???Mbona sie Wakristo hatuna hayo mambo, hata kama unaona kuna matusi kama yy anavyodai achana nayo hayakuhusu, kila mtu ashike Imani yake, haya mambo sio ya kuyashadadia kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari nilipoisoma binafsi nikicheka sana, ni ya ukweli kabisa...

Jamaa kapigana na "mungu" na akamshinda, kama hiyo haitoshi kuwa janga. Jamaa kamshinda "mungu" kwa kupitisha mkono na "kumgusa" kwenye "uvungu" wa paja la "mungu". Jaza mwenyewe huo uvungu wa paja ni wapi?

Mwanzo 32:
24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
Hapo umeitafsir Biblia vibaya Mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swahili Bible wametafsiri kutoka English Bible, kama maandiko yanakua na mashaka kwa kiswahili ni vema kuangalia English version or Hebrew version kwa Agano la kale.
Genesis 32:25
25 When the man saw that he could not overpower him, he touched the socket of Jacob’s hip so that his hip was wrenched as he wrestled with the man.
Nitaenda kupasoma tena vzr!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mama unakoelekea siku izi, Mungu akusaidie tu mana sio yule niliyemfahamu kipindi kile. Naisi kama wamekufanyia Cloning,
Kwi kwi kwi teh teh teh.

Nimeanza alfajiri, nimesoma Qur'an, nimeswali, nikachemsha kahawa nikachukua biblia, kufunguwa nikakutana na hiyo joke, nikacheka sana na kufurahi nikisema niishare furaha yangu na wezangu wa JF. Kumbe ni majanga!

Mwalimu wa imla hakukufinya kuandika jina kwa kuanza na herufi ndogo ety?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu siyo jina. Kamuulize Mwalimu wako akueleweshe vizuri.
 
Back
Top Bottom