Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Jamaa huyu ambaye kachoshwa na taarifa za mtaani ya kuwa memsapu wake amekithiri katika kuigawa...................sasa adai kapata dawa..............mama hushurutishwa kuvua nguo zote usiku halafu hunusishwa ugoro huku akiwa kachuchumaa...................halafu kitambaa safi na cheupe haswa kawekewa chini......................akianza kupiga chafya jamaa anamshiikamshika mkewe sehemu nyeti kwa kitambaa kile na kunusa akisubiria kuona kama kamasi zitachuruzika.............zikichuruzika kibanio huanzia hapo mpaka majogoo......................mwanamama naye kagundua njia..................mambo yote ni kwa soksi......................kwa hiyo hakuna kamasi tena..................jamaa afikiri kipigo ndicho kimemshikisha adabu mkewe.................kumbe mkewe kaerevuka.............................waswahili husema unapokula na kipofu khala-khala usimshike mkono..................