Ugeni wa majukwaa

BabaLove

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
232
334
Habarini wanandugu katika JF.

Mimi nimejiunga hum toka 2017 huko ila skua napata muda wa kuchangia sana sababu ya mambo na namna namna za hapa na pale mpaka nilipoamua kupakua app kwenye sim yangu.

Sasa tatizo langu imekua kila nikitaka kusoma, kuchangia ama kuanzisha uzi wa mambo ya DINI/IMANI silioni hilo jukwaa.
Nashindwa kuelewa ni ugeni ama vigezo na masharti ndo sijatimiza?

Naombeni msaada ili niweze kuliona jukwaa kama zamani. NAMASTE
 
Haya muzee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom