Michoro miingi, maelezo kibao. Ila nimeambulia sifuri.Bado mpaka sasa vifaa local kuwa digital hapa ila kwa ulaya teyari.
Mfano star tv wanatumia frequency moja ya mawimbi TV kuchambua tv zote.
Kwa nini!
Frequency zina masafa yanayo kwenda na geograph na yanapo ishia
View attachment 1719220
View attachment 1719221
Vizuizi
Hali ya hewa mfano ukanda baridi,ukanda wajoto na n.k
Sehemu ya miinuko,ukanda wa bahari,tambarare na n.k
Hivi vote vinaweza kufanya frequency kushinda kufika maana inazidi kupotea kwa kuwa frequency ni wave.
Wave ina tegemeana na uwezo mnaotumia
View attachment 1719222
View attachment 1719223
Kama wave zinazotumia fm ni ngumu kufika mbali sana ila zinaweza kuboreshwa.
Siwezi kueleza kwa kuandika sana
Amekuwa kama anatoa lecture. Kazidi kutukoroga wengineUonekana unajua lakini umejibu as if wote tunajua Kama wewe.