Ugandans, Tanzanians top list of migrants in Kenya - Survey

There is signed posted at main administrative office block at geza kiti mtu meat processing plant in sabawanga, No Kenyan need to apply. Chinese get the first priority followed by mdangayika die-hard ccm miscreants.
 
Bado utaona wakitutukana licha ya kuwapokea na kuwasaidia.
43 Bob? Ukiishafanya sensa ya Wakenya wako wangapi kwetu huku nadhani utaifuta comment yako. Tofauti ya Wakenya na Watanzania ni kuwa Mkenya akiwa na kidogo anajivunia mpaka kero. Kila jirani atajua. Ila Watanzania ninwatu wa kimya kimya. Kama huamini omba sensa ya wakenya Tanzania. Wako wengi tunaishi nao kwa upendo, hatuna shida na ndugu zetu hawa.

Punguzeni kelele 🤣🤣🤣
 
Huko Wakenya hawawezi kuwa wengi maana sera zenu za kichuki chuki mlizolishwa na Nyerere, Mkenya anayeishi huko anaishi kwa kuvumilia sana aidha hana namna inabidi tu, ila huku tunawapokea kwanza ukienda eneo la Gikomba utadhani uko Moshi mjini, kuna jamii ya Wachagga huwa wamekusanyika hapo wanapiga mishe zao bila usumbufu.

Kenya tunawapokea hadi omba omba wenu kila kona wamejazana kwenye barabara zetu... waganga wenu ndio usipime, tatizo hawaji wataalam ambao tunaweza kuwategemea kiuchumi, ni hawa kila kona

'Empower Your Beggars, Our Streets Are Full,' Kenyans Tell Magufuli (sokodirectory.com)

Ok full of itakuwa. Forget about fake assumptions bro. Tunaishi nao huku na hatuna tatizo nao hata. Ni ndugu zetu. If anything mnapaswa kumshukuru Nyerere maana ndiye aliyejenga dhana ya sisi kuwaona Waafrika wengine ni Ndugu.

Well nadhani picha mliyo nayo huko ni imaginary. Tunaishi na Wakenya, Waganda, Warundi, Wanyarwanda, Wazambia, Wamalawi, Wa Mozambique na mataifa mengine mengi. Hatuna chuki yoyote.

Kwa nini unadhani tunawachukia Wakenya?
 
'Empower Your Beggars, Our Streets Are Full,' Kenyans Tell Magufuli (sokodirectory.com)

Oops hapa ni ujinga mtupu. Kama mtu ameingia kinyume na utaratibu, Kenya haina sheria? Magufuli afanye nini sasa ilhali hao watu wapo Kenya? Magufuli ni rais wa Kenya?
 
Je mnataka tuanze kutafutana mitaani na sisi upande wetu? Acheki kupiga makelele wakenya wakati hali ikichafuka huko kimbilio lenu ni Tanzania.
 
Huko Wakenya hawawezi kuwa wengi maana sera zenu za kichuki chuki mlizolishwa na Nyerere, Mkenya anayeishi huko anaishi kwa kuvumilia sana aidha hana namna inabidi tu, ila huku tunawapokea kwanza ukienda eneo la Gikomba utadhani uko Moshi mjini, kuna jamii ya Wachagga huwa wamekusanyika hapo wanapiga mishe zao bila usumbufu.

Kenya tunawapokea hadi omba omba wenu kila kona wamejazana kwenye barabara zetu... waganga wenu ndio usipime, tatizo hawaji wataalam ambao tunaweza kuwategemea kiuchumi, ni hawa kila kona

'Empower Your Beggars, Our Streets Are Full,' Kenyans Tell Magufuli (sokodirectory.com)

hivi unajua jinsi kunyaland mnavyocreate wezi dunia nzima halafu tunawaangalia tu,unaambiwa kwa siku TZ tunapokea wakunya 300 na kati yao 99% ni wezi
 
Ni vyema ukatumia lugha ya staha. Lugha kama hizi unatudhalilisha Watanzania wenzako. Sisi ni bora kuliko lugha hizi ndugu
 
Huko Wakenya hawawezi kuwa wengi maana sera zenu za kichuki chuki mlizolishwa na Nyerere, Mkenya anayeishi huko anaishi kwa kuvumilia sana aidha hana namna inabidi tu, ila huku tunawapokea kwanza ukienda eneo la Gikomba utadhani uko Moshi mjini, kuna jamii ya Wachagga huwa wamekusanyika hapo wanapiga mishe zao bila usumbufu.

Kenya tunawapokea hadi omba omba wenu kila kona wamejazana kwenye barabara zetu... waganga wenu ndio usipime, tatizo hawaji wataalam ambao tunaweza kuwategemea kiuchumi, ni hawa kila kona

'Empower Your Beggars, Our Streets Are Full,' Kenyans Tell Magufuli (sokodirectory.com)

ndio maana mna sura mbaya na weusi kama mkaa sababu ya chuki zenu za kikabila amchanganyi damu zenu,mmekua weusi hata mkichora tattoo aionekani eti leo hii unadai Watanzania tunachukiana,kuna watu mnaochukiana kama wakunya ukanda huu!
 
Back
Top Bottom