Ugandans are angry with Tanzania for exporting Covid-19 to Uganda

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
19,160
15,428
Despite Tanzanian authorities denying and hiding corona virus cases, their Uganda neighbors are busy exposing them by identifying new cases of the disease on drivers from Tanzania. This is now put Tanzania as the only exporter of Covid in East Africa.

Mgonjwa anaendesha IT hadi Uganda. Hata mimi siwezi kutangaza upuuzi kama huo. Mabeberu wanatengeneza hofu ili mkakope kwa shugjuli isiyokuwa na maana. Kama kuna umuhimu wa kutangaza wagonjwa naomba itoke na idadi ya wenye ukimwi, malaria, kansa na magonjwa mengine kila siku. Hili beat la kichina tuwaache wakenya wacheze sisi tunamatatizo mengi ya kudeal nayo sio haya ya kutengenezwa
 
Sasa hivi nchi jiran ndo wanawatangazia visa Tanzania,serikali IPO likizo chato

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwasikilize ni kawaida ukikaa kimya wapo watakaokusemelea! Huwa hawakosekani wenye shipa la uongeaji na vilevile wenye shipa la kutoongea!..

Twende chato tukanywe supu ya mihogo na kujufukiza kwa muarobaini wenye ndimu ndani yake😜
 
Mgonjwa anaendesha IT hadi Uganda. Hata mimi siwezi kutangaza upuuzi kama huo. Mabeberu wanatengeneza hofu ili mkakope kwa shugjuli isiyokuwa na maana. Kama kuna umuhimu wa kutangaza wagonjwa naomba itoke na idadi ya wenye ukimwi, malaria, kansa na magonjwa mengine kila siku. Hili beat la kichina tuwaache wakenya wacheze sisi tunamatatizo mengi ya kudeal nayo sio haya ya kutengenezwa
Ur the true son of Ur father
 
Umenena vyema mkuu
 
Kwamba inashindikana au

Na hao wagonjwa wa ukimwi , malaria na kansa wanazikwa na serikali na wao au vp apo
 
Huyu hapa watasema amelala, hapo lumumba drive juu ya kutafuta hela

Screenshot_20200427-115529_Instagram.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu hapa watasema amelala, hapo lumumba drive juu ya kutafuta helaView attachment 1432100

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha photoshop ukiangalia vizuri pale kwenye kioo utaona baada ya nguzo kuna kama bars nyeupe zimening'inia sasa jiulize ni nn zile out of place kwenye grill za ukuta? Kingine baada ya huo mwili ukuta unafuata ila cha ajabu tunaona dalili za kioo kikionyesha reflection! Huyu Mange aangalie ujinga anaofanya haujakaa poa!
 
Geza sipicha ni video, and the road has been cordoned off, ni screenshot tu nimetuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgonjwa anaendesha IT hadi Uganda. Hata mimi siwezi kutangaza upuuzi kama huo. Mabeberu wanatengeneza hofu ili mkakope kwa shugjuli isiyokuwa na maana. Kama kuna umuhimu wa kutangaza wagonjwa naomba itoke na idadi ya wenye ukimwi, malaria, kansa na magonjwa mengine kila siku. Hili beat la kichina tuwaache wakenya wacheze sisi tunamatatizo mengi ya kudeal nayo sio haya ya kutengenezwa
sawa kaka! tumekuskia.
 
Back
Top Bottom