Ugandans Agree That Nairobi is way Better than Kampala

Yaan hizo comments za Waganda sits kwenye post moja ndo uje u conclude kwamba eti Dar haijatajw basi ndo si kitu...

Amini ya kwamba kwa Eastern Africa ni cities 2 tuu ndo zinatamba

Nairobi and Dar es Salaam basiii

Huyo Kigali na Kampala hawawezi kuwapata Dar na Nai labda miaka hiyoo...
 
Hilo daraja linalopita baharini tunalo tayari, na tunajenga jingine tena salander bridge.

Skyscrapers ndio tunazo zakutosha Nonsense
Me ndo nashangaa huo uzuri wa Maputo ni
kwasababu ya hilo daraja tuu

Af at the same time Dar kuna daraja la Kigamboni ambalo ni same to hilo

Wakati huohuo Salender bridge linajengwa, hawa wakenya wanataka kusema nin hawaa!!
 
EA ni Nai na Dar tuu, hao wengine wababaishaji tuu

Kampala huwezi hata kujaribu kufananisha Dar na Nai, NEVER....
 
Wacha madharau wewe Kampala ndio city us tatu kwa huu ukanda achilia Arusha ata Mombasa yenyewe haiwezi fikia kampala
Kampala hamna kitu mbele ya Mombasa
tapatalk_1556123734663.jpeg
tapatalk_1560366527309.jpeg
tapatalk_1560365648326.jpeg
 
Maputo nini weweee....

Wareno chotara wale si kitu mbele ya Dar, heb acha zako ww
Wakiwashinda wanakuwa wareno chotara?? Dar is sluum is only famous in Tanzania/JF hata watu wengi wanafikiri ni mkoa hapa Kenya au Kijiji chakuvulia samaki Pwani ya Kenya.
 
Wakiwashinda wanakuwa wareno chotara?? Dar is sluum is only famous in Tanzania/JF hata watu wengi wanafikiri ni mkoa hapa Kenya au Kijiji chakuvulia samaki Pwani ya Kenya.
Haha Nairobi inafahamika na nn Kwan? watu wanajua kuna Kenya hawajui hata Nairobi Ni kitu gani
 
Back
Top Bottom