Ugandan urges weekday burial ban | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugandan urges weekday burial ban

Discussion in 'International Forum' started by BAK, Jul 25, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,538
  Likes Received: 81,972
  Trophy Points: 280
  Ugandan urges weekday burial ban
  BBC News Online

  [​IMG]
  Speciosa Kazibwe suggested using fridges to preserve corpses

  A Ugandan official has suggested to MPs that funerals should be limited to Saturday afternoons to stop people taking time off work to attend them.

  Speciosa Kazibwe, a former vice-president who now heads a state development agency, noted that Uganda's death rate was very high.

  Uganda has been hard hit buy HIV/Aids, which caused 91,000 deaths in 2005.

  Ms Kazibwe said each constituency should have a mortuary with a fridge that could preserve corpses.

  She made the comments in a meeting with MPs on economic development.

  "I get surprised whenever I hear of a politician who abandons office and attends a funeral," the New Vision newspaper quoted her as saying.

  Burials were taking up lots of time as well as productive vehicles, she said.
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2008
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  heee!! hii kali sasa.....watu wasizike ndugu zao hadi weekend!!
   
 3. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2008
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hapa Finland, mazishi yote ni weekend tu. Hakuna kuomba ruksa kwenda kwenye mazishi.
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,538
  Likes Received: 81,972
  Trophy Points: 280
  Kwa Wazungu hilo si la kushangaza, lakini kwa utamaduni wetu wa kiafrika hili ni la kustaajabisha!! Sasa waislamu mtu akifa leo ni lazima azikwe siku inayofuata sasa uwaambie wasubiri mpaka weekend!!!
   
 5. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  BAK,

  Sie kwetu maiti hailali, watazika hadi usiku kwa sababu ya mila na desturi, itakuwa ngumu sana.
   
 6. A

  August JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2008
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  mzee inabidi tuangalie tamaduni zina tokana na nini? eg wamakonde kuchanja, kulitokana na nia yao ya kukwepa kuchukuliwa watumwa, navyo sikia., waarabu kuvaa haggar ni kujiprotect kutokana na vumbi la jangwani, Ndugu zangu wakighana Mazishi wana taarisha Miezi wakijayarisha ku-celebrate maisha ya muhusika, hivyo mwili unakaa kwenye fridge, sisi 1 day to 3 days exceptional cases zaidi ya hapo. Wenzetu wa Kagera nasikia walibadili mambo baada ya Vifo kuwa vingi due to natural hazards za maisha, kuto kuvaa viatu Msikitini nasikia ilikuwa kuepusha harufu ya talawanda za ngozi na jasho la miguu, hivyo shurti uoshe miguu na kuacha talawanda nje, na hata wengine siku hizi kutokana na gharama za maisha na majukume mengine wanaendesha shughuli za kilio faster faster kuepuka gharama au kupunguza gharama, sasa hata hili ni wakati utakao tusababisha tubadilike etc.
   
 7. C

  Chuma JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hii Kali...

  Lakini kwa waislam, maiti haitakiwi Ilale, kama mlivyoona namna alivyozikwa Abacha, kwanza very simple. Mambo ya Suti na Dhahabi havimfai maiti na waste of resources. Wakati watu wanakufa Migodini kutafuta dhahabu, watu wanazika maiti zao na Dhahabu...Tubadilike wakuu!!!

  Back kwa Maendeleo: Kimsingi Baadhi ya watu wanatumia hii offer ya Kuzika kuacha kazi zao na kwenda ktk mambo ya binafsi. ni Vigumu kama serikali kuidhibiti Hali hii. Ni attitude ambayo sote twatakiwa kujirekebisha
   
 8. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2008
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ebu Wangalie Upande Wa Waislamu Kwani Nao Hawlazi Maiti Siku Nyingi
   
 9. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Suala sio kulaza maiti au nini mimi naona kila mtu anazungumzia imani ya dini ina maana hata hizo nchi za ulaya hakuna waislamu? Na taratibu zina kuwaje? Na ni kipengele kipi katika msahafu kinachoeleza kuwa waislamu wazikwe mara moja baada ya kufa? Na vipi katika upande wa kisayansi? Mimi nachoona hapa ni kwamba mamuzi yote yatakayotolewa yawe na msingi(base approach) kufuatana na hivyo vigezo. Sio kukurupuka na kuanza kulaumu nafahamu mazoea ni kilema na msiba huwa hauna taarifa tusianze kunyoosheana vidole na lazima ieleweke kuzikwa mapema sio suluhisho la kufika mbinguni bali ni kuondoa bughudha ya uozo na uvundo wa maiti. Najua na mimi nitakufa siku moja ambayo siijui. Nitataka nizikwe mapema ili kuondoa gharama na mambo mengina lakini pia itanibidi nifuate utamaduni wangu pamoja na sheria za nchi.
   
 10. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0

  Umetoa wapi hii au vijiwe vya (k)gahawa?
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...nadhani ingekuwa busara iwapo angesema mazishi baada ya saa kumi jioni, hilo la jumamosi tu duuuh!

  ...ni kweli kuna wanao abuse the system, unakuta leo mtu amefiwa na mjomba wa jirani yake, wiki jana alifiwa na shangazi wa mkwewe, wiki ya juzi mke wa mjomba wake, kabla ya hapo, alifiwa na mjomba wa shangazi yake ...ukipiga hesabu katika siku tano za kazi kwa wiki, mahudhurio kazini ni siku tatu, nyingine mbili misibani.

  Kwa Experience yangu, angejitahidi kutafuta kiini cha tatizo hilo la 'wafanyakazi' kutoka toka kazini, na kujaribu kuinua mori na motisha wa kazi, badala ya kukemea watu kuzika katikati ya week.
   
Loading...