Ugandan Traders Turn to Dar Port As Kenya Polls Close in

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,243
24,104
Kampala — With about six weeks left for Kenyans to go to the polls, the private sector in neighbouring states are now beginning to look at the Dar es Salaam port as an alternative route to import and export goods.

Kenya's main port of Mombasa, which according latest reports, registered 11 per cent cargo growth in the first quarter of 2017, serves Uganda, Rwanda, Burundi, South Sudan and DR Congo.

Although much preferred by the business community, the abrasions of the post-election violence of 2007/8 are still fresh because of its adverse effect on regional economies.

Uganda's private sector is not taking chances saying Dar es Salaam Port should permanently resume its use

Private Sector Foundation of Uganda Gideon Badagawa executive director hopes the elections will be calm and peaceful- Kenyan leaders and voters must have learnt their lessons from the 2007 experiences.

"We have seen both Raila and Uhuru commit to peaceful elections and calling on their supporters to avoid violence. Of course better said than done! We, nevertheless, are hopeful that the environment for business shall not be much distorted," he said.

Mr Badagawa added Uganda needs to have 'a plan B'. "It might be a good idea to begin opening up and using the route through Dar es Salaam," he said.

Kampala City Traders Association spokesperson Issa Sekitto said goods, during this period, should go through the Central corridor.

Uganda's leading export commodity, coffee, is transited through Mombasa Port and many exporters saw their stocks pile in 2007.

This time round, coffee exporters are not taking a wait-and-see attitude due to concerns about potential violence during the polls.

Mr Joseph Nkandu, the executive director of National Union of Coffee Agribusiness and Farm Enterprises, a farmers organisation involved in the production and export of coffee, said the 2007 election violence in Kenya was a big lesson to Kenyans and the land locked countries who export and import goods through Kenya including Uganda.

"Definitely this becomes more than an individual company to handle but rather a country strategy. All of us as exporters and government of Uganda we must join hands for plan B Tanzania," Mr Nkandu told Daily Monitor yesterday.

He admitted that although Dar es Salaam, over 1,700 kilometres, comes with added costs of more than 20 percent, it is less than diversion costs in case violence erupts.

Using the Mombasa Port costs about $1,500 (Shs5.4 million) to $1,800 (Shs6.4 million) for a 20 feet container. This is less than Tanzania's $2,500 (Shs9 million) and more including more time in delays.

Overdue compensation

Ten years down the road, traders are still waiting for compensation for the losses they incurred. The 2007/8 post-election violence saw Ugandans' properties worth about $40 million (Shs144 billion) destroyed.

"In fact if we had capacity we would make a project of telling everybody about this injustice," Mr Sekitto said. Commenting on this, Mr Badagawa said unlike the Uchumi case, Kenyan authorities have tended to be adamant.

"We continue to push government of Uganda to push Kenyan authorities to make this good. They promised but have not effected. These issues have been advanced to the EAC," Mr Badagawa said.

He advised the Ugandan business community to take insurance policies for compensation in case violence breaks out and affects their businesses.

Ten years ago, the Dar es Salaam port which commanded more than 30 per cent of Uganda's share of cargo, lost this market because of several handles the route had such as poor roads and insecurity.

However, the Tanzanian government, through its ports authority, has embarked on a strategy to expand the port and also eliminates all the barriers in order to regain their regional market share.

Port expansion

Tanzania signed a $154 million (Shs554.4b) port expansion contract with a Chinese firm as part of plans to transform it into the region's transport and trade hub.

In the 2017/18 budget proposal, Tanzania Finance minister Philip Mpango scrapped value added tax on transit goods from its main ports.

The move is intended to win back importers from landlocked countries who saw this as an additional cost to their business.

Under the port upgrade contract, which is funded by a World Bank loan, Tanzania is planning to build a roll on/roll off (ro-ro) terminal and to deepen seven existing berths in order to accommodate larger container ships.

In an interview with Daily Monitor, Tanzania Ports Authority director general Deus Kakoko at the sidelines of the 8th Central Corridor Inter-State Ministers Meeting in Kampala this week, said: "What was lacking was the transport systems and this is being addressed to reduce the delays."

Source: Ugandan traders turn to Dar port as Kenya polls close in

Additional Information :
The Central Corridor Transit Transport Facilitation Agency (CCTTFA) Documentary
The Central Corridor Transit Transport Facilitation Agency (TTFA) is a multilateral Agency established on 2nd September, 2006, formed by an Agreement by the five Governments of the Republic of Burundi, the Democratic Republic of the Congo (DRC), The Republic of Rwanda, The United Republic of Tanzania and the Republic of Uganda.

The TTFA was formed in recognition of the right of landlocked countries (LLC) to transit trade as declared under specific United Nations General Assembly Resolution 56/180 on particular needs of Landlocked Developing Countries from which other declarations and action programmes evolved.

Through co-operation amongst private and public sector stakeholders the TTFA is charged with the promotion of transport utilization of the Central Corridor, encouraging the maintenance, upgrading, improvement and development of infrastructure and supporting service facilities at port, rail, lake, road border posts and along the route to meet user requirements, ensure open competition and reduce the costs of transit transport for land-locked Member States.
Source: Pascal Mayalla

Dar-es Salaam Port

Source: TPAHQ TPAHQ

Mda wa kurudisha kilicho chetu ndo huu
Kwani will elections be lasting process? This is just a temporary measure they hav taken in case of a major blow- up in Kenya. but it will return to business as usual once things turn to normal for they cannot resist the allure of the port of Mombasa and Kenya.
 
Of course elections won't last that longer, but the customers may leave for good!

Tunachokifanya sa hizi ni uhakikisha kuwa tunajeng mazingira mazuri kwao kirejea, ile kodi ambayo ndo ilisababisha wakaja huko tayar imefutwa!

Moreover, tayari tumeingia makubaliano ya kuboresha infrastructures na national fiber networks kati ya Uganda, Rwanda na tz!

Hizi zote ni njia za kuwarudisha kwenye dar port!

East Africa: Uganda, Rwanda, Tanzania Link Project On Track
 
What about sgr inayounganisha uganda na rwanda ikiisha?
 
Mda wa kurudisha kilicho chetu ndo huu

Hehehe!! Ndio maana Watanzania huwa mnasubiri kama fisi kwamba majirani wenu waingie kwenye machafuko, aisei mna roho chafu sana nyie, Rwanda walichinjana hapo mkiwacheka tu kishetani.
Lakini hapa mtasubiri sana. Na kwa jinsi mlivyo wavivu wa kupindukia hata tukiingia kwenye matatizo, tutanyanyuka na kuendelea kuawwacha na kuwashinda kama ilivyo kila siku.

Nakumbuka 2007/8 tuliingia kwenye machafuko, mkanyakua soko letu lakini hamkudumu nalo maana tuliporudia hali ya kawaida tukawakuta bado mnazuga, tukawaacha tena. Kwa kifupi sisi hata tukiwa chini bado nyie sio tisho, ni kama unapigana na mtu aliye chini na bado anakushinda, maana tumechezea mabomu ya aslahaab, mkaendelea kuishi nyuma yetu, tukaingia kwenye machafuko baada ya uchaguzi, bado mkaishi nyuma yetu.

Na hata baada ya hapa mtaishi huko huko nyuma yetu maana hamna uwezo wala ubavu wa kuipita Kenya hadi hata vizazi baada ya vizazi, nyie ni wale wale babu zetu waliwashinda, baba zetu wakawashinda, sie vizazi vya leo tumewashinda na hata watoto wetu tumewaandaa waendelee kuwashinda....hehehee hadi raha. Mlijiingiza kwenye laana pale mlianza kuwatafuna albino, uchumi wa nchi hauwezi kukua kwa njia za kishirikina, mtubu kwanza kama nchi.
 
Dar port, one of a few ecomonic busters for Tz, not to ignore mining and tourism sectors. The way I see, this Government's main agendas sticks at these "BIG THREE", which is a very important move for Tz economy.
 
Of course elections won't last that longer, but the customers may leave for good! Tunachokifanya sa hizi ni uhakikisha kuwa tunajeng mazingira mazuri kwao kirejea, ile kodi ambayo ndo ilisababisha wakaja huko tayar imefutwa! Moreover, tayari tumeingia makubaliano ya kuboresha infrastructures na national fiber networks kati ya Uganda, Rwanda na tz! Hizi zote ni njia za kuwarudisha kwenye dar port! East Africa: Uganda, Rwanda, Tanzania Link Project On Track

Kenya is also offering sone insentives to its ports clients, and it is also carrying out some operatinal, technological and facilities upgrade.

Mombasa had lowered its storage charges, and there were talks about eliminating the transit bonds, I think they had done away with that already. But u do not understand the one reason why Ugandan/Rwandan traders prefer the Kenyan route so much over Tanzania, it not just bcos the efficiency of the port of Mombasa.

The whole route from Mombasa to the border is lined with big towns and huge populations. It is like every 20miles u travel, u come accross a town or city. They are somewhat assured of the security for their cargo, their trucks wont be stuck in the middle of nowhere in case of a breakdown, their drivers have ample places to rest and refresh.

Most of the cargo- truck drivers prefer the kenyan route for that reason. Now, compare that with Tzian route whereby one can drive for miles and miles and miles without without seeing a major human habitation.....its all lonely for miles.

http://allafrica.com/stories/201308052078.html
 
Of course elections won't last that longer, but the customers may leave for good!

Tunachokifanya sa hizi ni uhakikisha kuwa tunajeng mazingira mazuri kwao kirejea, ile kodi ambayo ndo ilisababisha wakaja huko tayar imefutwa!

Moreover, tayari tumeingia makubaliano ya kuboresha infrastructures na national fiber networks kati ya Uganda, Rwanda na tz!

Hizi zote ni njia za kuwarudisha kwenye dar port!

East Africa: Uganda, Rwanda, Tanzania Link Project On Track

Leave for good and pay more for good?
The Dar port route will forever remain more expensive than Mombasa to Ugandans. Hio ni mambo na geography.
 
Tanzania, kuwa nyuma ya Kenya hadi tusubilie matatizo ya wenzetu ni ujinga ulio tukuka.

Hakika, Tanzania tukiweza kukamata mizigo ya nchi zote hizo wakati wa shida na raha Kwa Kenya hapo ndipo tujisifu.

Ila , kama Taifa tukiwa watu wa kusubilia matukio mabaya kwa majirani zetu mfano, Kenya ili ndiyo tupate kazi hapo tunaonesha kuwa watendaji wengi wenye dhamana hiyo ni wajinga na mapoyoyo

Na hali inaweza ikawa mbaya zaidi endapo, Kenya wakijenga hiyo SGR kuunganisha hizo nchi zote za Ug, Rwanda basi tusahau kabisa kupata kazi kutoka kwa hizo nchi zote.

Ila, naomba tu wahusika wa TPA na wizara za ya ujenzi /miundombinu na uchukuzi watumie akili zao kwa ufasaha ili nchi yetu isiwe Kama kituko machoni pa nchi zingine.
 
CCM wako busy kung'oa vibao vya VICTOR WANYAMA badala kunegotiate na Wanyarwanda, Wacongo na Waganda muda huu wa Uchaguzi nchini Kenya.
 
Hehehe!! Ndio maana Watanzania huwa mnasubiri kama fisi kwamba majirani wenu waingie kwenye machafuko, aisei mna roho chafu sana nyie, Rwanda walichinjana hapo mkiwacheka tu kishetani.
Lakini hapa mtasubiri sana. Na kwa jinsi mlivyo wavivu wa kupindukia hata tukiingia kwenye matatizo, tutanyanyuka na kuendelea kuawwacha na kuwashinda kama ilivyo kila siku.

Nakumbuka 2007/8 tuliingia kwenye machafuko, mkanyakua soko letu lakini hamkudumu nalo maana tuliporudia hali ya kawaida tukawakuta bado mnazuga, tukawaacha tena. Kwa kifupi sisi hata tukiwa chini bado nyie sio tisho, ni kama unapigana na mtu aliye chini na bado anakushinda, maana tumechezea mabomu ya aslahaab, mkaendelea kuishi nyuma yetu, tukaingia kwenye machafuko baada ya uchaguzi, bado mkaishi nyuma yetu.

Na hata baada ya hapa mtaishi huko huko nyuma yetu maana hamna uwezo wala ubavu wa kuipita Kenya hadi hata vizazi baada ya vizazi, nyie ni wale wale babu zetu waliwashinda, baba zetu wakawashinda, sie vizazi vya leo tumewashinda na hata watoto wetu tumewaandaa waendelee kuwashinda....hehehee hadi raha. Mlijiingiza kwenye laana pale mlianza kuwatafuna albino, uchumi wa nchi hauwezi kukua kwa njia za kishirikina, mtubu kwanza kama nchi.

Naona umeanza lile shobo la ID yako ya zamani, kujifanya msafi kumbe ndani kipande cha mti! Hivi kwa umri wako hujui mchango wa Tanzania kwenye mauaji ya Rwanda? Hilo nalo inataka kukumbushwa? Ebo! Vijana wa miaka ya 90 ndo pengine wangekuwa wanasema hilo! Hata migogoro ya hapo kwenu tumesimama mstari wa mbele kuwasuruhisha!

Suala la masoko ya bandari, hiyo ni biashara! Hatuwezi kuacha kutoa huduma kwa watu eti kisa mko kwenye machafuko! Ni lazima huduma nyingine ziendelee!

Halafu naona kuna ka wimbo unakaimba kutwa kucha, eti tutaendelea kuwa chini! Nakushauri uendelee kuwaza hivyo hivyi maana wenzio tulishagundua wapi tulijikwaa na sasa tunainuka! Kwa mantiki hiyo kuwapita ni suala la muda tu wala sio la kupigia makelele hapa!
 
Kenya is also offering sone insentives to its ports clients, and it is also carrying out some operatinal, technological and facilities upgrade.

Mombasa had lowered its storage charges, and there were talks about eliminating the transit bonds, I think they had done away with that already. But u do not understand the one reason why Ugandan/Rwandan traders prefer the Kenyan route so much over Tanzania, it not just bcos the efficiency of the port of Mombasa.

The whole route from Mombasa to the border is lined with big towns and huge populations. It is like every 20miles u travel, u come accross a town or city. They are somewhat assured of the security for their cargo, their trucks wont be stuck in the middle of nowhere in case of a breakdown, their drivers have ample places to rest and refresh.

Most of the cargo- truck drivers prefer the kenyan route for that reason. Now, compare that with Tzian route whereby one can drive for miles and miles and miles without without seeing a major human habitation.....its all lonely for miles.

http://allafrica.com/stories/201308052078.html

Unfortunately link uloweka hapa inazungumzia mambo ya 2013! Mambo mengi sana yamefanyika hapa katikati ya kuvutia wafanyabiashara, plus our good relationship with Rwanda and uganda ndo tunazidi kuwaleta wengi zaidi!

Pamoja na hayo, bado central corridor ndo inatumiwa na rwanda kusafirisha mafuta bila kujali umbali uliopo maana huku kuna huduma nzuri Central Corridor | Rwanda Petroleum import switches to Central Corridor

Pia baada ya kurekebisha mambo kadhaa pale bandarini, Rwanda wameupokea uamuzi huo kwa bashasha na taarifa zinaonesha kuwa bandari ya dar inatumiwa na Rwanda kwa 70% ya bidhaa zote zinazotegemea bahari zinazoingizwa Rwanda! Hivyo ninyi mnabaki na hiyo 30% tu!
Angalia hapa wanyarwanda walivyofurahia uamuzi wa kurekebisha huduma za dar port
http://www.newtimes.co.rw/section/read/203718/
 
Naona umeanza lile shobo la ID yako ya zamani, kujifanya msafi kumbe ndani kipande cha mti! Hivi kwa umri wako hujui mchango wa Tanzania kwenye mauaji ya Rwanda? Hilo nalo inataka kukumbushwa? Ebo! Vijana wa miaka ya 90 ndo pengine wangekuwa wanasema hilo! Hata migogoro ya hapo kwenu tumesimama mstari wa mbele kuwasuruhisha!

Suala la masoko ya bandari, hiyo ni biashara! Hatuwezi kuacha kutoa huduma kwa watu eti kisa mko kwenye machafuko! Ni lazima huduma nyingine ziendelee!

Halafu naona kuna ka wimbo unakaimba kutwa kucha, eti tutaendelea kuwa chini! Nakushauri uendelee kuwaza hivyo hivyi maana wenzio tulishagundua wapi tulijikwaa na sasa tunainuka! Kwa mantiki hiyo kuwapita ni suala la muda tu wala sio la kupigia makelele hapa!
Naomba nikutaarifu, huu ni mtandao wa kijamii, hatupo humu kufurahishana ila kuambiana ukweli, naona hujanifahamu, mimi huwa naeleza kama ilivyo na bila kuremba.
Kiukweli nyie mna unafiki uliopitiliza, tena kimya kimya halafu mnapenda sana kuelekeza vidole vya lawama.

Nimekuambia mtasubiri sana, na hata Kenya ikiingia kwenye machafuko hamuwezi kutupita, hilo la nyie kusubiri mtupite mlianza tangu enzi zileee, lakini hadi leo mpo mpo tu.

Matumizi ya bandari ya Mombasa yameongezeka kwa asilimia 11% pamoja na kwamba tunapewa hadithi eti wateja wanahama
Barabara ya Port Reitz na ile ya uwanja wa ndege zinaendelea kupanuliwa.
Kandarasi ya 6 lanes Mombasa hadi Jomvu tayari imepokezwa.

Reli ya SGR sina hata haja ya kuitaja maana ni jitu linaloonekana.
 
Hehehe!! Ndio maana Watanzania huwa mnasubiri kama fisi kwamba majirani wenu waingie kwenye machafuko, aisei mna roho chafu sana nyie, Rwanda walichinjana hapo mkiwacheka tu kishetani.
Lakini hapa mtasubiri sana. Na kwa jinsi mlivyo wavivu wa kupindukia hata tukiingia kwenye matatizo, tutanyanyuka na kuendelea kuawwacha na kuwashinda kama ilivyo kila siku.

Nakumbuka 2007/8 tuliingia kwenye machafuko, mkanyakua soko letu lakini hamkudumu nalo maana tuliporudia hali ya kawaida tukawakuta bado mnazuga, tukawaacha tena. Kwa kifupi sisi hata tukiwa chini bado nyie sio tisho, ni kama unapigana na mtu aliye chini na bado anakushinda, maana tumechezea mabomu ya aslahaab, mkaendelea kuishi nyuma yetu, tukaingia kwenye machafuko baada ya uchaguzi, bado mkaishi nyuma yetu.

Na hata baada ya hapa mtaishi huko huko nyuma yetu maana hamna uwezo wala ubavu wa kuipita Kenya hadi hata vizazi baada ya vizazi, nyie ni wale wale babu zetu waliwashinda, baba zetu wakawashinda, sie vizazi vya leo tumewashinda na hata watoto wetu tumewaandaa waendelee kuwashinda....hehehee hadi raha. Mlijiingiza kwenye laana pale mlianza kuwatafuna albino, uchumi wa nchi hauwezi kukua kwa njia za kishirikina, mtubu kwanza kama nchi.

sijui unaongea nin?Kenya haipo hata kwenye fastesr growing economy in africa achilia mbali in the world.
Katika watu wabaya na wanyama east africa ni nyie wakikuyu.Iko siku mtaingia anga zetu na tutawaharibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom