Ugandan MPs pass life in jail anti-homosexual law

Maswala

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
560
225
Ugandan MPs pass life in jail anti-homosexual law
39 minutes ago

Some gay Ugandans have fled the country, saying they are being persecuted
Uganda's parliament has passed a bill to toughen the punishment for homosexual acts to include life imprisonment for repeat offenders.

The anti-homosexuality bill also makes it a crime punishable by a prison sentence not to report gay people.

The prime minister opposed the vote, saying not enough MPs were present.

The bill has been condemned by world leaders since it was mooted in 2009 - US President Barack Obama called it "odious".

The BBC's Catherine Byaruhanga in Kampala says the government knows there will be an international outcry, which could see some countries suspend aid to the country.

She says that Prime Minister Amama Mbabazi might follow up on his complaints about a lack of quorum, while it remains to be seen whether President Yoweri Museveni will sign the bill into law.

The private member's bill originally proposed the death penalty for some offences, such as if a minor was involved or the perpetrator was HIV-positive, but this has been dropped.

Miniskirt ban

The MP behind the bill, David Bahati, told the AFP news agency: "This is victory for Uganda. I am glad the parliament has voted against evil."

"Because we are a God-fearing nation, we value life in a holistic way. It is because of those values that members of parliament passed this bill regardless of what the outside world thinks," he said.

The bill also bans the promotion of homosexuality.

"I am officially illegal," Ugandan gay activist Frank Mugisha said after the vote.

Uganda is a socially conservative country and on Thursday passed an Anti-Pornography Bill, which bans miniskirts and sexually suggestive material such as some music videos.

Human rights activists say the bill highlights the intolerance and discrimination the gay community faces in Uganda.

One gay activist was killed in 2011, although the police denied he was targeted because of his sexuality.

Meanwhile a local newspaper has been condemned for publishing the names and addresses of people it said were gay.

Source: BBC
 
Maswala

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
560
225
Uganda's parliament has passed a new anti-#gay law which US President Barack Obama has called "odious": http://bbc.in/1cFcSyM

The bill toughens the punishment for homosexual acts to include life imprisonment for repeat offenders.

It also makes it a crime - punishable by a prison sentence - not to report homosexual activities to the police.

President Yoweri Museveni still has to sign the bill before it becomes law.
 
EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,467
2,000
Kwa nini iwe kosa jinai mtu kuwa shoga? Sielewi kabisa mimi.

Not only that because the anti-homosexuality bill also makes it a crime punishable by a prison sentence not to report gay people.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,372
2,000
Uganda imepitisha mswada unaopinga mapenzi ya jinsia moja.
Iwapo Rais Yoweri Museveni ataidhinisha sheria hiyo inamaanisha atakayepatkana na hatia atahukumiwa kifungo cha maisha gerezani.

Mswaada huo uliopitishwa na bunge siku ya Ijumaa halikadhalika inasema mtu yeyote aliye na taarifa za watu wanoshiriki mapenzi ya jinsia moja na kushindwa kuripoti habari hizo kwa maafisa wa polisi atafungwa gerezeni maisha.

Wakati hu huo bunge hilo hilo la Uganda siku ya Alhamisi liliidhinisha mswaada unaopiga marufuku maonyesho ya picha za chafu.

Mswada huo unaharamisha kitu chochote kitakachoonyesha sehemu nyeti kama vile matiti, mapaja, makalio au tabia yoyote inayozua uchu wa mapenzi.

Kulingana na mswada huo, sheria iliyopo sasa kuhusu picha chafu haihusu zaidi picha hizo bali linahusu uchapishaji ,mawasiliano, taarifa , burudani, maonyesho katika kumbi za kuigizia, miziki inyochezwa katika vyombo vya habari, densi, sanaa, mitindo na picha za runinga.

Mapema mwaka huu Waziri wa maadili wa Uganda, Simon Lokodo, alipendekeza kuwa mwanamke yeyote anayevalia nguo ambayo inafika juu ya magoti anatakiwa kukamtwa na kuadhibiwa kisheria.

Mswada huo unahitaji kuidhinishwa na Rais kabla ya kufanywa sheria.
Uganda ni nchi inayoshikilia mawazo ya kihafidhina yaani isiyopendelea mageuzi katika mawazo na inaandaa sheria ya kuwaadhibu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja ikijumuisha hukumu ya kifo katika baadhi ya kesi.

SOURCE: BBC Swahili
 
Fenento

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
320

Nimaamuzi ya kuwapongeza kwa ustawi wa jamii ya kiafrika. Hilo litakuwa ni pigo kwa wale wenzetu wanaosema kuwa They want to export gay marriage
 
Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
Asigwa katika paragraph yako ya pili kama watapitisha hivyo majanga! Na hiyo sheria itakua kinyume na principle za law! Just imagine, umegundua mwanao ndio anafanya hivyo!
Hivi itamaanisha wewe uliejua hiyo kitu unapenda iwe hivyo?
Nadhani wabunge wa Uganda na raisi wao if akikubali huo mswada itabidi wanuswe midomo! Otherwise waspecify mazingira ya hiyo kitu!
And refers sheria haipo kwa niaba ya kukandamiza watu, refers John lock, Montesque na Plato!
 
Lakini mkuu lengo kuu la sheria si kutoa haki kama wengi wanavyoaminishwa, lengo kuu la sheria ni kulinda utu wa mtu , halafu kutoa haki ni second target.

Sasa kama utu wa binadamu unadhalilishwa kwa misingi ya kudai haki ambazo bado ziko challengeable mahakamani unafikiri kuna haja ya kumlaumu Museveni??
 
jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,344
2,000
kama swala ni maadili wasiishie hapo, uzinzi na uasherati nao ni kinyume cha maadili. Sheria inatakiwa vile vile iwabane wote wanaoduu bila ndoa, na nje ya ndoa!
 
Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
...1
Lakini mkuu lengo kuu la sheria si kutoa haki kama wengi wanavyoaminishwa, lengo kuu la sheria ni kulinda utu wa mtu , halafu kutoa haki ni second target.
...2
Sasa kama utu wa binadamu unadhalilishwa kwa misingi ya kudai haki ambazo bado ziko challengeable mahakamani unafikiri kuna haja ya kumlaumu Museveni??

...1
Asigwa hapo kuna mjadala mrefu sana!
Tupaache tu!
...2
Mu7 atalaumika if akisign hiko kipengele cha mswada kinachosema "yoyote atakaejua hizo habari na kushindwa kuripoti!"
hapo ndio kunautata!
 
Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,372
2,000
...1
Asigwa hapo kuna mjadala mrefu sana!
Tupaache tu!
...2
Mu7 atalaumika if akisign hiko kipengel
e cha mswada kinachosema "yoyote atakaejua hizo habari na kushindwa kuripoti!"
hapo ndio kunautata!
Kweli kuna haja ya kubadili hicho kipengele cha anayekuwa na taarifa lakini asiripoti polisi, angalau adhabu inaweza kuwa faini au miaka kama mitano hivi...

Ila bado namsifu sana Museveni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom