misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 13,641
- 9,338
Kwanini mkuu?Bora wakosane itakuwa nafuu yetu sana.
Kwanini mkuu?Bora wakosane itakuwa nafuu yetu sana.
Mtu mbaya akiwa na maadui wengi ni rahis kummalizaKwanini mkuu?
Hii habari nimeona kwa kifupi kwenye tv kwamba Museveni amegoma kuudhuria mkutano wa mambo ya uchumi utaofanyika nchini Kigali
Kabisa mkuu.Taratibu EAC inataka kuelekea Kibra. Kumbuka Nyerere vs Iddi Amini.
If i heard you right..you said, I am biased? biased on what? anyway, hayo ni maoni na mtazamo wako. As i quote you,Naona hapa tunachobishana hata hakieleweki kwa sababu hata lengo la hio operation siyo hilo ulilolisema na uzuri wa hii hata france senior soldiers walioshiriki hizo operations zote 2 walihojiwa na committee ya bunge lao search kwenye "MITTERAND ARCHIEVES" na walikiri malengo yao huko Rwanda yalikua ni nini.
Nimekuja jua uko bias pale unaposema "wkt Rwigema akianzisha mashambulizi eti PK alikua Uganda enjoying himself".Baada ya hapa ndo nimeelewa pengine something is wrong somwhere hahah.
So long Bro.
Ila Rwanda wanapenda kutengeneza uadui sana mkuu.Mtu mbaya akiwa na maadui wengi ni rahis kummaliza
So long broIf i heard you right..you said, I am biased? biased on what? anyway, hayo ni maoni na mtazamo wako. As i quote you,
"Baada ya hapa ndo nimeelewa pengine something is wrong somwhere hahah"..I take this an insult. I think you're forcing me to respond in a way you would not like. Curiosity killed the Cat, stay advised.
Asili yao ni migogoro.Mi ningekuwa rais hata kushikana mikono na kagame nisingeweza maana mikono yake inachuruzika damu za watu wasio na hatia.Ila Rwanda wanapenda kutengeneza uadui sana mkuu.
Kabisa mkuu.Asili yao ni migogoro.Mi ningekuwa rais hata kushikana mikono na kagame nisingeweza maana mikono yake inachuruzika damu za watu wasio na hatia.
Aliomba kuingia EAC ili adukue mambo ya nchi wanachama yule technician muda wote.Hii jumuiya si Muungano hivyo ataivunja kinamna.Kabisa mkuu.
Lakini inakuwa ngumu kutokuwa nae moja kwa moja kwasababu tupo kwenye jumuiya moja ya EAC ila sio wakuwa nae karibu sana.
Ataivunja vp wkt nchi yake wala sio powerful country(Economically+Kijeshi) in E/Africa mkuu?Aliomba kuingia EAC ili adukue mambo ya nchi wanachama yule technician muda wote.Hii jumuiya si Muungano hivyo ataivunja kinamna.
That's cool with me. Have seen imbeciles for my fifty plus good years, not surprised at all. my advice: Bado una ujinga mob, chukua hatua za kuupunguza.So long bro
I appreciate sana,be blessed.That's cool with me. Have seen imbeciles for my fifty plus good years, not surprised at all. my advice: Bado una ujinga mob, chukua hatua za kuupunguza.
Mdomo wake ndiyo powerful.Watu wote wasio na nguvu mara nyingi silaha yao kuu ni mdomo na kujifanya ni wema sana.Ataivunja vp wkt nchi yake wala sio powerful country(Economically+Kijeshi) in E/Africa mkuu?
Sasa mtu mwenye mdomo bila nguvu si anatakiwa apewe kichapo heavy mkuu.Mdomo wake ndiyo powerful.Watu wote wasio na nguvu mara nyingi silaha yao kuu ni mdomo na kujifanya ni wema sana.
Hiyo ndiyo mbinu yake kuu.Unadhani huyu wetu akishauriwa atoke atagoma.
Inahitaji umakini sana kumpa kisago .Mnaweza kuwa mnampiga ghafla akiwa amelala anaropoka kitu cha uongo mnaanza kupigana nyie then yy anasepa.Mdomo hatari.Sasa mtu mwenye mdomo bila nguvu si anatakiwa apewe kichapo heavy mkuu.
Kwanini asipewe kisago heavy sasa?
Hahaha basi hapo inabd kutafuta ile gundi ya SUPER GLUE afu unafunga mdomo then kichapo kinafuata kimya kimya hahahInahitaji umakini sana kumpa kisago .Mnaweza kuwa mnampiga ghafla akiwa amelala anaropoka kitu cha uongo mnaanza kupigana nyie then yy anasepa.Mdomo hatari.
Uganda ninayoisikia mimi chini ya M7 iingie mgogoro na Slim nitakuwa wa mwisho kuamini
na wanyankole toka RwandaHahah kwani nyandwi aliwekwa Madarakani na kina nani?