Uganda yawashikilia wanyarwanda kwa tuhuma za upelelezi (spy)

Naona hapa tunachobishana hata hakieleweki kwa sababu hata lengo la hio operation siyo hilo ulilolisema na uzuri wa hii hata france senior soldiers walioshiriki hizo operations zote 2 walihojiwa na committee ya bunge lao search kwenye "MITTERAND ARCHIEVES" na walikiri malengo yao huko Rwanda yalikua ni nini.

Nimekuja jua uko bias pale unaposema "wkt Rwigema akianzisha mashambulizi eti PK alikua Uganda enjoying himself".Baada ya hapa ndo nimeelewa pengine something is wrong somwhere hahah.

So long Bro.
If i heard you right..you said, I am biased? biased on what? anyway, hayo ni maoni na mtazamo wako. As i quote you,
"Baada ya hapa ndo nimeelewa pengine something is wrong somwhere hahah"..I take this as an insult. I think you're forcing me to respond in a way you would not like. Curiosity killed the Cat, stay advised.
 
Namuona magu anateua mabarozi kwenye vyeo vya juu jeshini kwenda kutuwakilisha nje ya nchi .umeelewa sasa?
 
If i heard you right..you said, I am biased? biased on what? anyway, hayo ni maoni na mtazamo wako. As i quote you,
"Baada ya hapa ndo nimeelewa pengine something is wrong somwhere hahah"..I take this an insult. I think you're forcing me to respond in a way you would not like. Curiosity killed the Cat, stay advised.
So long bro
 
Asili yao ni migogoro.Mi ningekuwa rais hata kushikana mikono na kagame nisingeweza maana mikono yake inachuruzika damu za watu wasio na hatia.
Kabisa mkuu.

Lakini inakuwa ngumu kutokuwa nae moja kwa moja kwasababu tupo kwenye jumuiya moja ya EAC ila sio wakuwa nae karibu sana.
 
Kabisa mkuu.

Lakini inakuwa ngumu kutokuwa nae moja kwa moja kwasababu tupo kwenye jumuiya moja ya EAC ila sio wakuwa nae karibu sana.
Aliomba kuingia EAC ili adukue mambo ya nchi wanachama yule technician muda wote.Hii jumuiya si Muungano hivyo ataivunja kinamna.
 
That's cool with me. Have seen imbeciles for my fifty plus good years, not surprised at all. my advice: Bado una ujinga mob, chukua hatua za kuupunguza.
I appreciate sana,be blessed.

So long.
 
Ataivunja vp wkt nchi yake wala sio powerful country(Economically+Kijeshi) in E/Africa mkuu?
Mdomo wake ndiyo powerful.Watu wote wasio na nguvu mara nyingi silaha yao kuu ni mdomo na kujifanya ni wema sana.
Hiyo ndiyo mbinu yake kuu.Unadhani huyu wetu akishauriwa atoke atagoma.
 
Mdomo wake ndiyo powerful.Watu wote wasio na nguvu mara nyingi silaha yao kuu ni mdomo na kujifanya ni wema sana.
Hiyo ndiyo mbinu yake kuu.Unadhani huyu wetu akishauriwa atoke atagoma.
Sasa mtu mwenye mdomo bila nguvu si anatakiwa apewe kichapo heavy mkuu.

Kwanini asipewe kisago heavy sasa?
 
Sasa mtu mwenye mdomo bila nguvu si anatakiwa apewe kichapo heavy mkuu.

Kwanini asipewe kisago heavy sasa?
Inahitaji umakini sana kumpa kisago .Mnaweza kuwa mnampiga ghafla akiwa amelala anaropoka kitu cha uongo mnaanza kupigana nyie then yy anasepa.Mdomo hatari.
 
Inahitaji umakini sana kumpa kisago .Mnaweza kuwa mnampiga ghafla akiwa amelala anaropoka kitu cha uongo mnaanza kupigana nyie then yy anasepa.Mdomo hatari.
Hahaha basi hapo inabd kutafuta ile gundi ya SUPER GLUE afu unafunga mdomo then kichapo kinafuata kimya kimya hahah
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom