Uganda yawashikilia wanyarwanda kwa tuhuma za upelelezi (spy)

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,461
2,000
Rwanda is overrated mkuu, Slim kweli Kichwa kimechangamka ila nikuambie tu hana ubavu wa Kufanya chochote katika ukanda huu anashindana na hao waganda na wakongo walio lala, Nkuambie tu Rwanda hana ubavu wa kupiga chafya hata kwa Kenya achilia mbali giant state kama The United republic of Tanzania, We are strong fatilia operation kimbunga time ya mkwere ndo utajua huu ukanda sisi tukiamua watu walale saa kumi jioni tunaweza kabisa
Mimi nimfatiliaji mzuri wa siasa na Maisha ya Rwandese haswa national level, Slim nimuoga sana ndio mana Cabinet yake Wanawake ndio wame dorminate. Lakini Karma huwa haipotezi adress damu ya Fred inamlilia sana Paka
Kifo cha nkurunzinza pk alitaka kuchukua advantage ya kuweka mtutsi,yule spika wangejaribu kumuweka pale ndio ingekua imetoka hiyo,fasta wazee wa kazi TZ tukaingilia kati,burundi ilikua inaingia kwenye machafuko tena km si kumuapisha ndayishimiye fasta
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,001
2,000
Rwanda is overrated mkuu, Slim kweli Kichwa kimechangamka ila nikuambie tu hana ubavu wa Kufanya chochote katika ukanda huu anashindana na hao waganda na wakongo walio lala, Nkuambie tu Rwanda hana ubavu wa kupiga chafya hata kwa Kenya achilia mbali giant state kama The United republic of Tanzania, We are strong fatilia operation kimbunga time ya mkwere ndo utajua huu ukanda sisi tukiamua watu walale saa kumi jioni tunaweza kabisa
Mimi nimfatiliaji mzuri wa siasa na Maisha ya Rwandese haswa national level, Slim nimuoga sana ndio mana Cabinet yake Wanawake ndio wame dorminate. Lakini Karma huwa haipotezi adress damu ya Fred inamlilia sana Paka
Haya nambie actions zilizochukuliwa na kipnd kile watz mto kagera wanapgwa risasi....au wamtwara vs msumbuji insurgents
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom