Uganda yawashikilia wanyarwanda kwa tuhuma za upelelezi (spy)

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
25,784
2,000
Inahitaji umakini sana kumpa kisago .Mnaweza kuwa mnampiga ghafla akiwa amelala anaropoka kitu cha uongo mnaanza kupigana nyie then yy anasepa.Mdomo hatari.
Hahaha basi hapo inabd kutafuta ile gundi ya SUPER GLUE afu unafunga mdomo then kichapo kinafuata kimya kimya hahah
 
cilla

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
618
500
Yaani watanzania wakisikia spy wanawaza wakudukua habari za kijeshi,usalama au kuua tu.spy wanaweza kuwa wa mambo mbalimbali sio lazima iwe katika usalama
 
Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
10,925
2,000
Hivi karibuni Uganda imeingia katika mgogoro wa kidiplomasia baada ya Uganda kukamata raia wa Rwanda kwa tuhuma za uspy/upelelezi katika nchi ya Uganda.Chanzo DW juzi.

Kwa taarifa hii imenifanya kutafakari nakuanza kuamini kuwa Rwanda imedhamiria kuwa Taifa lenye nguvu katika Afrika.

Pia nimekumbuka post moja hapa jf kuwa Rwanda inatumia wanawake zao wazuri katika kufanya upelelezi wao Tz

Pia nakumbuka post hapa jf kuwa wakati wa Bunge Dodoma huonekana wanawake wengi wakinyarwanda wakijiuza.

Pia nakumbuka juu ya post moja hapa Jf kuwa inawezekana Jeshi la Rwanda ndilo lililoshambulia wanajeshi wa Tanzania nchini Congo kwa mwamvuli wa waasi wa kongo.

Lakini pia nakumbuka kuwa Congo amewahi kuwashutumu Rwanda kuwa inafadhili waasi wa Congo kwaajili ya kuvuna rasilimali madini ya Congo

Lakini pia nakumbuka kuuwawa kwa mpinzani wa Kagame nchini Afrika kusini Hotelini jinsi mataifa mengine walivyoinyooshea mkono Rwanda kuwa imehusika.

Mwisho nchi hii imetangaza wazi kuwa wao ni rafiki wa Israel na wanashirikiana kwa karibu.Hii inaonyesha Rwanda ni nchi inayojizatiti sana katika maswala ya usalama na udukuzi

TANZANIA IKAE VIZURI
Post yako imeniudhi kwa kutozungumzia kifo cha Rev mtikila
 
ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,891

umesahau ya jenerali kombe na mtikila
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,001

Mkuu napenda Sana kusikia taarifa za rwanda.....

Actually Kagame is something else
Nafikir unaona hata wakulu wetu wakiiga baadhi ya mbinu kutoka kwa huyu jamaa......

Mind you Kuna kipnd nilikua nasikia watu wanauwawa mto kagera mpakan na rwanda but ckuckia mrejesho upande wapili walitangaza cjui ITV....skumbuki vizur

BUT nimesikia Sana kuhusu uvunaji wa mali za Congo na reason ya Rwanda fast growth....nafikir hapa wengi wanajua....so nimesikia kwako Tena

Nimekua nikifuatilia mgogoro wa rwanda na Uganda ...aisee haka kainch n balaaa kanajaribu kutake over millitary control over Uganda ....ukifuatia ununuzi wa fighters helicopters ( nimesahau majina yake) ili kupata leverage.....

Actually be tusipojiangalia pamoja na udogo inaweza kua regional power ya Africa mashariki......hasa na huo mpango wake wa nyuklia ....Kuna wengine wanabeza wanasema sababu n udogo but nikifikilia how Israel inatamba middle East siamini udogo kama sababu kama kutakua na extra advancement katka teknology against their opponentKuna kipndi nilisikia anawadukua had wapinzani wake walioko nje ya Africa akishilikiana na Israel....wanadukuliwa kupitia wasap.....source BBC nilisoma....

So kama unataarifa za ivi ....mkuu zishushe
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,001
2,000
Usiwe mwepesi wa kutekwa na maigizo ya mashosti wawili. Museveni - Kagame - Kabila ni umoja imara usioyumba. Wenye ufahamu tunaelewa lengo la kiini macho hicho.
Afu we Aya mapost yako huwa nadhan Mimi ndo nimejibu daaah
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,001
2,000
Magazeti ya rwanda na ya uganda yamekuwa yakilaumiana kwa jambo hilo wiki moja iliyopita.ulitaka tuongelee tusiyoyaona?sisi sio malaika hatuwezi jua kama ni maigizo au la wewe unayeona ya rohoni tujuze
Aya majibu yanauzi ila ndo ukweli
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,001
2,000
Hawana lolote wauza maku tu ukimzingua wana roho mbaya mno, mbona ukienda kibondo, Rulenge, nyakanazi, kahama,Kinondoni, Mikocheni maeneo ya Cine club, Masaki ndio kazi yao,Rwanda ni Kigali tu kwingine wana dhiki kinyama, halafu Rwanda kuna mashoga wengi mno ukanda huu hata jamaa zao wanaliwa kinyama hivyo msitishe sana watu sio wote undercover au informers maku zao wameshajua tunawahisi hivyo wanapretend sana
Kwaiyo akiwa shoga ndo hawezi kua spy....basi ingekua hivo waazungu wasingetukalia kooni Africa hatufurukuti....
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,001
2,000
PK hajawahi kushinda vita ya One on one. majeshi ya mseveni walikuwa ambushed na RPF(majeshi ya kagame). ilikuwa mwaka 2000 wakati huo nikiwa Bujumbura. yes, Uganda suffered major casualties...lakini, ni uzembe kufikiri kuwa PK can beat Museveni...Hell No! tuache ushabiki, tujikite kwenye uchambuzi unaobebwa na tafiti.
At least for now,!!!... Israel beats Egypt.....kushinda Vita syo tu millitary personnel s tu....
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,001
2,000
Hahah aisee hapa naweza nikaandika hata page 100 lkn ngoja ila ngoja niongee kidogo tu.

Unasemaga Kagame ye ni bingwa kuvizia sio?Na mimi nikauuliza kwenye thread moja huko nyuma.

Hivi nini maana ya investment in intelligence?Hivi mtu anayekufanyia Ambush anakua hajakufanyia intelligence ya kutosha sio?

Kagame ni former CMI wa Uganda,what does that tell you?

Hivi OPERATION TURQUOISE unaifahamu?Kagame alimvizia nani pale?

Na for your information wkt Rwanda inapigana Na uganda huko Congo,tayari RPF walikua wameshaanza mipango na mahandaki yao kwenye border yao na Uganda kwennda kumshughulikia Museveni huko huko Uganda kama ulikua huna taarifa.

Sawa mkuu ngoja tuendelee kufanya"uchambuzi" unaobebwa na "tafiti".
At least uchambuz wako unaleta sense
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,001
2,000
Yaani watanzania wakisikia spy wanawaza wakudukua habari za kijeshi,usalama au kuua tu.spy wanaweza kuwa wa mambo mbalimbali sio lazima iwe katika usalama
Nikweli....spy n hatari kuliko anaekua randomly bila lengo kuu...spy anapeleka taarifa za udhaifu wako na plan so n easily kuzitumia kama advantage
 
Roadmap

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
1,635
2,000
Mkuu napenda Sana kusikia taarifa za rwanda.....

Actually Kagame is something else
Nafikir unaona hata wakulu wetu wakiiga baadhi ya mbinu kutoka kwa huyu jamaa......

Mind you Kuna kipnd nilikua nasikia watu wanauwawa mto kagera mpakan na rwanda but ckuckia mrejesho upande wapili walitangaza cjui ITV....skumbuki vizur

BUT nimesikia Sana kuhusu uvunaji wa mali za Congo na reason ya Rwanda fast growth....nafikir hapa wengi wanajua....so nimesikia kwako Tena

Nimekua nikifuatilia mgogoro wa rwanda na Uganda ...aisee haka kainch n balaaa kanajaribu kutake over millitary control over Uganda ....ukifuatia ununuzi wa fighters helicopters ( nimesahau majina yake) ili kupata leverage.....

Actually be tusipojiangalia pamoja na udogo inaweza kua regional power ya Africa mashariki......hasa na huo mpango wake wa nyuklia ....Kuna wengine wanabeza wanasema sababu n udogo but nikifikilia how Israel inatamba middle East siamini udogo kama sababu kama kutakua na extra advancement katka teknology against their opponentKuna kipndi nilisikia anawadukua had wapinzani wake walioko nje ya Africa akishilikiana na Israel....wanadukuliwa kupitia wasap.....source BBC nilisoma....

So kama unataarifa za ivi ....mkuu zishushe
Rwanda is overrated mkuu, Slim kweli Kichwa kimechangamka ila nikuambie tu hana ubavu wa Kufanya chochote katika ukanda huu anashindana na hao waganda na wakongo walio lala, Nkuambie tu Rwanda hana ubavu wa kupiga chafya hata kwa Kenya achilia mbali giant state kama The United republic of Tanzania, We are strong fatilia operation kimbunga time ya mkwere ndo utajua huu ukanda sisi tukiamua watu walale saa kumi jioni tunaweza kabisa
Mimi nimfatiliaji mzuri wa siasa na Maisha ya Rwandese haswa national level, Slim nimuoga sana ndio mana Cabinet yake Wanawake ndio wame dorminate. Lakini Karma huwa haipotezi adress damu ya Fred inamlilia sana Paka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom