Uganda yawashikilia wanyarwanda kwa tuhuma za upelelezi (spy)

Mambo ya kuiga haya yatamshinda K, Rwanda bado sanaaa zaidi atakwaruzana na kila jirani.
This is Africa atachemka tuu
 
Aisee waliendaga huko Kongo kwenye madili yao, Mseveni akajifanya kumdindia Kagame ikapigwa vita ,museveni akapoteza mamia ya wanajeshi wake mpk ikabidi aselende tu.

Walienda kusuluhishwa huko UK na Malkia Elizabeth ndiye aliyewasuluhisha
PK hajawahi kushinda vita ya One on one. majeshi ya mseveni walikuwa ambushed na RPF(majeshi ya kagame). ilikuwa mwaka 2000 wakati huo nikiwa Bujumbura. yes, Uganda suffered major casualties...lakini, ni uzembe kufikiri kuwa PK can beat Museveni...Hell No! tuache ushabiki, tujikite kwenye uchambuzi unaobebwa na tafiti.
 
Hahah aisee hapa naweza nikaandika hata page 100 lkn ngoja ila ngoja niongee kidogo tu.

Unasemaga Kagame ye ni bingwa kuvizia sio?Na mimi nikauuliza kwenye thread moja huko nyuma.

Hivi nini maana ya investment in intelligence?Hivi mtu anayekufanyia Ambush anakua hajakufanyia intelligence ya kutosha sio?

Kagame ni former CMI wa Uganda,what does that tell you?

Hivi OPERATION TURQUOISE unaifahamu?Kagame alimvizia nani pale?

Na for your information wkt Rwanda inapigana Na uganda huko Congo,tayari RPF walikua wameshaanza mipango na mahandaki yao kwenye border yao na Uganda kwennda kumshughulikia Museveni huko huko Uganda kama ulikua huna taarifa.

Sawa mkuu ngoja tuendelee kufanya"uchambuzi" unaobebwa na "tafiti".
 
Sawa mkuu. nakubaliana kutokukubaliana. As I said, "tufanye uchambuzi unaobebwa na Tafiti" ina maana pana sana. The first and utmost, Kagame hakuwashinda wanajeshi wa Ufaransa kama walivyojulikana as OPERATION TURQUOISE. Hapakuwepo mapigano kati ya pande zote mbili. Though kuna mambo yalikuwa hayaendi sawa ndani ya UNAMIR. kasome kitabu cha Shake Hands with the Devil: The Journey of Roméo Dallaire utaelewa uhalisia wa Rwanda genocides. siku hizi wametoa mpaka moview yake. OPERATION TURQUOISE walikuwa na jukumu la kulinda Amani lakini in contrary, they failed on the following reason;-
  1. walishindwa kuzuia mauaji ya kimbari, kwa kuwa walijenga "usuuba"(friendship) with Hutu extremist.
  2. UNAMIR mission zili-change in the course of events. only General Roméo Dallaire ndo alibaki peke yake akiwa na msimamo tofauti na wenzake.
  3. As i said, PK ni opportunist na hana tofauti na fisi katika medani za kijeshi.
Je unajua why RPF killed Captain Mbaye? UNAMIR soldier and peace keeper! je kwa nini Heroes of Genocides, kwa nini Captain Mbaye hawamwandiki? Not in Rwanda, Not in UN...why? Find out bro! Nimeishi kwenye nchi zote za maziwa makuu, nawajua sana mkuu.

Nimalizie kwa kusema, jaribu kufanya tafiti kuhusu siasa za maziwa makuu. kuna mambo mengi hayako kama unavyoyaona kwa sababu za makusudi.
 
Mkuu hicho kitabu cha SHAKE HAND WITH DEVIL nimekisoma zaidi ya Mara 4 na nakijua vzr saaana though naona mada inaenda ya tulichokua tuna ki duscuss lkn anyway ngoja nikuulize kitu.

Operation Noroît unaifahamu?
 
Na pia soma kitabu kinaitwa "dark wind in lake kivu" utaelewa kitu gani kinaendelea.
 
fake news...nyandwi ndo kampa maisha PAKA hafu eti wagombane hakika nakuwa wa mwisho kuamini
 
Mkuu hicho kitabu cha SHAKE HAND WITH DEVIL nimekisoma zaidi ya Mara 4 na nakijua vzr saaana though naona mada inaenda ya tulichokua tuna ki duscuss lkn anyway ngoja nikuulize kitu.

Operation Noroît unaifahamu?
mkuu, umeishiwa hoja nini? (just kidding bro). ndiyo naifahamu. Ni operesheni ya kijeshi iliyofanyika Kigali na jeshi la Ufaransa miaka ya 90, ilikuwa na lengo la uokoaji wa raia wa nchi za magharibi. hiyo ni baada ya kuona kuwa kuna hatari (vita) inanukia. The same operation imefanyika in mid-genocide war. kulikuwepo hofu ya kuzuka civil wars baada ya RPF KU-launch mashambulizi wakitokea Uganda. Ndipo Mara moja, Rais wa Rwanda Juvenal Habyarimana alimwomba mwenzake mfaransa, François Mitterrand, kumsaidia kukabiliana na ghasia hiyo. wabelgiji walihusika pia. Jeshi la Ufaransa lilizindua operation mnamo Oktoba 4, kwa lengo la kulinda ubalozi wa Ufaransa, ili kuhakikisha ulinzi wa wananchi wa Kifaransa, na, ikiwa ni lazima, kushiriki katika uhamisho wao. Ni hadithi ndefu, sioni kama kuna haja ya kuisimulia.

But the point is, PK has never been hero nor RPF. iko hivi, wakati RPF wanaanzisha mashambulizi, the late Rwigema akiwa ndo kiongozi wa operation ile, PK was left in Uganda...enjoying himself. anyway, nisizungumzie zaidi hilo...

kati ya 92' and 93' ilipita resolution kuwa kila mtutsi duniani kote atoe contribution ya fedha or man power ya kwenda kujiunga na RPF kwa ajili ya kupigana vita. personally, I was affected. nilikuwa na ngomb'e kama 500 nilizowekesha kwa Colleagues(wanyarwanda) maeneo ya Nyakahura-Ngara zikakosa wakuzichunga. vijana wengi waliondoka kwenda vitani.

So bro, let the gone be bygone.
 
Naona hapa tunachobishana hata hakieleweki kwa sababu hata lengo la hio operation siyo hilo ulilolisema na uzuri wa hii hata france senior soldiers walioshiriki hizo operations zote 2 walihojiwa na committee ya bunge lao search kwenye "MITTERAND ARCHIEVES" na walikiri malengo yao huko Rwanda yalikua ni nini.

Nimekuja jua uko bias pale unaposema "wkt Rwigema akianzisha mashambulizi eti PK alikua Uganda enjoying himself".Baada ya hapa ndo nimeelewa pengine something is wrong somwhere hahah.

So long Bro.
 
Hivi karibuni Uganda imeingia katika mgogoro wa kidiplomasia baada ya Uganda kukamata raia wa Rwanda kwa tuhuma za uspy/upelelezi katika nchi ya Uganda.Chanzo DW juzi.

Kwa taarifa hii imenifanya kutafakari nakuanza kuamini kuwa Rwanda imedhamiria kuwa Taifa lenye nguvu katika Afrika.

Pia nimekumbuka post moja hapa jf kuwa Rwanda inatumia wanawake zao wazuri katika kufanya upelelezi wao Tz

Pia nakumbuka post hapa jf kuwa wakati wa Bunge Dodoma huonekana wanawake wengi wakinyarwanda wakijiuza.

Pia nakumbuka juu ya post moja hapa Jf kuwa inawezekana Jeshi la Rwanda ndilo lililoshambulia wanajeshi wa Tanzania nchini Congo kwa mwamvuli wa waasi wa kongo.

Lakini pia nakumbuka kuwa Congo amewahi kuwashutumu Rwanda kuwa inafadhili waasi wa Congo kwaajili ya kuvuna rasilimali madini ya Congo

Lakini pia nakumbuka kuuwawa kwa mpinzani wa Kagame nchini Afrika kusini Hotelini jinsi mataifa mengine walivyoinyooshea mkono Rwanda kuwa imehusika.

Mwisho nchi hii imetangaza wazi kuwa wao ni rafiki wa Israel na wanashirikiana kwa karibu.Hii inaonyesha Rwanda ni nchi inayojizatiti sana katika maswala ya usalama na udukuzi

TANZANIA IKAE VIZURI

Na umesikia Tz nayo imefanya urafiki na Israel?
 
Niliandika thread juu ya SGR ya rwanda na tz itakavyokuwa kaburi la uchumi wetu nilitukanwa sana.Lakin najua wazi kuwa vita ya congo ni kagame kwa sasa.Wasiomjua watakutukana sana.
 
Pro na Mng'ato mna mengi mnayajua, endeleeni kuyandika kwa uwazi basi ili na sisi kizazi cha sasa tuyajue. Msiulizane nyie tu.
 
ivi karibuni Uganda imeingia katika mgogoro wa kidiplomasia baada ya Uganda kukamata raia wa Rwanda kwa tuhuma za uspy/upelelezi katika nchi ya Uganda.Chanzo DW juzi.

''Kikulacho kinguo ni wako x2''

Paul Kagame Biography - A Refugee's Childhood, Uganda and the ...
upload_2018-3-22_16-22-20.png

biography.jrank.org/pages/2859/Kagame-Paul.html
Upon seizure of power in 1986, Kagame and Rwigyema held senior positions in the NRA and in 1987 Rwigyema became deputy minister of defence in Kampala, while Kagame was appointed acting chief of military intelligence to the NRA. Kagame and Rwigyema's military and political experiences in the NRA and its political wing, the National Resistance Movement (NRM), cannot be underestimated. As one RPF leader put it: "If the NRM could liberate Uganda, the RPF began to ask why it could not do the same in Rwanda," as quoted in Mahmood Mamdani's When Victims Become Killers: Colonialism, Nativism, and the Genocide in Rwanda. Museveni subsequently selected Kagame for a nine-month training stint in Cuba and in 1989 he was again sent abroad for training, this time in the Joint Combined Exchange Training course by the U.S. military in Fort Leavenworth, Kansas.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom