Uganda yawashikilia wanyarwanda kwa tuhuma za upelelezi (spy)

Sahau hilo huyo jamaa mnampaishaga kila nnchi imejipanga na sio kwamb kagame anapawa sana hadi ya kumtoa rais mwingne kwenye nchi yake hyo africa bado
Hahah kwani hujui huyo alikua ni Chief of Military Intelligence(CMI) wa jeshi la Museveni hapo Uganda.

Hivi rais wa Congo Mobutu Sese Seko alitolewa na wakina nani madarakani.
 
Hivi karibuni Uganda imeingia katika mgogoro wa kidiplomasia baada ya Uganda kukamata raia wa Rwanda kwa tuhuma za uspy/upelelezi katika nchi ya Uganda.Chanzo DW juzi.

Kwa taarifa hii imenifanya kutafakari nakuanza kuamini kuwa Rwanda imedhamiria kuwa Taifa lenye nguvu katika Afrika.

Pia nimekumbuka post moja hapa jf kuwa Rwanda inatumia wanawake zao wazuri katika kufanya upelelezi wao Tz

Pia nakumbuka post hapa jf kuwa wakati wa Bunge Dodoma huonekana wanawake wengi wakinyarwanda wakijiuza.

Pia nakumbuka juu ya post moja hapa Jf kuwa inawezekana Jeshi la Rwanda ndilo lililoshambulia wanajeshi wa Tanzania nchini Congo kwa mwamvuli wa waasi wa kongo.

Lakini pia nakumbuka kuwa Congo amewahi kuwashutumu Rwanda kuwa inafadhili waasi wa Congo kwaajili ya kuvuna rasilimali madini ya Congo

Lakini pia nakumbuka kuuwawa kwa mpinzani wa Kagame nchini Afrika kusini Hotelini jinsi mataifa mengine walivyoinyooshea mkono Rwanda kuwa imehusika.

Mwisho nchi hii imetangaza wazi kuwa wao ni rafiki wa Israel na wanashirikiana kwa karibu.Hii inaonyesha Rwanda ni nchi inayojizatiti sana katika maswala ya usalama na udukuzi

TANZANIA IKAE VIZURI
hao mashushu warembo wa rwanda waje tu kwa wingi watupeleleze, tutawal*mba na hawapati chochote cha maana bongo hapa njaa kali tu. Mwisho wa siku watashangaa tunawapeleleza wao ndio watajua wabongo hatuna mchezo. PK zidisha kuleta warembo hao kwa fujo ndio tunawataka watupeleleze tena nataka kila siku aje mrembo mpya wa kinyarwanda anipeleleze
 
Kuna shida kwenye mfumo wetu wa ulinzi/intelligence ingefaa ufumuliwe wote uundwe upya hasa hiyo TISS.

Hao si wanakua mapandikizi,mfano unaweza kuta hata Rais wa nchi fulani sio Raia wa nchi hiyo Ila pandikizi la nchi nyingine kawekwa pale kwa maslahi yao.


Exactly, kuna shida huko kwenye vitengo nyeti tena sio ndogo.
Wenzetu walioendelea na wanaojielewa vizuri hawana mambo ya ajabu kiasi hiki.
Mtu akipata uraia wa nchi husika halafu wakawa interested na siasa na kufika mbali kisiasa basi ataishia sana sana kuwa mkuu wa mkoa.

Kwenye Intelligence/ TISS yao ndo kabisa!
Sidhani hata kama wanachukua naturalized citizens.
 
Exactly, kuna shida huko kwenye vitengo nyeti tena sio ndogo.
Wenzetu walioendelea na wanaojielewa vizuri hawana mambo ya ajabu kiasi hiki.
Mtu akipata uraia wa nchi husika halafu wakawa interested na siasa na kufika mbali kisiasa basi ataishia at least kuwa mkuu wa mkoa.

Kwenye Intelligence/ TISS yao ndo kabisa!
Sidhani hata kama wanachukua naturalized citizens.
Kweli kabisa... Nakubaliana na ww 100%
 
Pk na watutsi wenzake wamejipanga pale japo ni wachache zaidi ya wahutu,hlf ni nchi 1 ya kijinga sana,mtawala akiwa mtutsi wahutu wanaishi kimashaka mashaka,watutsi ndio wanakula bata,na akitawala mhutu watutsi ndio ukimbia kbs nchi yao!
Wangekagawanyisha tu pasu kwa pasu kila kabila lichukue ka kipande kake tu,hahah nazingua mkuu.
 
Back
Top Bottom