#COVID19 Uganda yasimamisha usafiri wa umma, ni kubaya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,404
Kwa wanaoendelea kubeza waendelee ila hiki kitu sio cha kuchekewa tena, nimesoma taarifa za kitaalam sehemu yaani kikitushukia hapa Afrika tutazikwa hadi tukome ubishi, na wala hamna cha vijana au wazee, kinafyeka wenye ventilators nyingi Ulaya, hapa kwetu hospitali nyingi zina chache sana.

=======

President Museveni on Wednesday evening suspended use of public transport for 14 days with immediate effect.
“All public means of transport have been suspended for 14 days. This includes taxis, buses, coasters, passenger trains, tricycles and boda bodas. Only private means will be allowed to move. Private cars will only be allowed to carry not more than three people,” Mr Museveni said.

The president was addressing the nation following the confirmation of five new coronavirus cases bringing the total to 14.
According to him, other private vehicles that will be allowed to move are trucks/lorries carrying food. He said boda boda's can be used to carry food.

"We are trying to target human beings. Passengers will only move in private cars. Ambulances, vehicles of security forces; army and police, some of the government vehicles doing essential work, garbage trucks will be allowed to move," Mr Museveni said.

The president also suspended the operation of non-food shops and markets with immediate effect until further notice.

Source: Daily Monitor
 
MK254, Wewe kwa joto lililopo tz hiyo covid lazima isome namba mtu akikohoa akiwa umbali wa mita 1 hadi virusi vikufikie vinakua vimesha ungua na jua kuwa jivu

Sent using Jamii Forums mobile app

Shukrani kwa kuwa mstaarabu na kuondoa matusi, maana uvumilivu wa matusi yako ulikua umeanza kunifika mwisho kiasi cha kuwa tayari kukujibu kwenye level yako.

Anyway, tukirudi kwenye hoja, waarabu kinawaua kwenye joto lao huko kwao ambayo ni mara kumi ya kwenu, ni muhimu kuchukua tahadhari, haipaswi kujiaminisha mambo yasiyo na mantiki ya kitaalam, tumia muda wako kusoma kuhusu hiki kitu, ni balaa belua.

Pia kumbuka joto halipo Tanzania yote, kuna watu wanateseka sasa hivi kutokana na mafuriko huko huko Tanzania, check hapa, uniambie hawa watalindwa kivipi.

 
Back
Top Bottom