Uganda: Watu 36 wafariki, wengi hawajulikani walipo huku maelfu wakiwa bila makazi kutokana na mafuriko

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,289
2,000
Shirika la Uokoaji la Msalaba Mwekundu Nchini humo linaloendelea na uokoaji katika Wilaya ya Bundibugyo limesema kuwa watu wengi bado hawajulikani walipo kutokana na mvua kubwa zinazonyesha Mashariki mwa Uganda

Waziri wa Kujikinga na Majanga na Kushughulikia Wakimbizi, Musa Echweru amesema takribani Kaunti ndogo 11 zimesombwa na mafuriko na uokoaji unakuwa mgumu kutokana na miundombinu kuharibiwa vibaya

BB83BA27-E740-4400-8A2E-3AD8AF323BE0.jpeg


Mikoa ya Bugisu na Bundibugyo karibu na Mlima Ruwenzori imeathiriwa vibaya zaidi huku mafuriko na maporomoko ya udongo yakiwaacha maelfu ya watu bila makazi ya kuishi wakilazimika kujikinga ndani ya shule au Makanisa

Aidha, Echweru ameongeza kuwa sehemu zilizoathiriwa zipo katika hatari ya kupata magonjwa ya mlipuko yanayosambazwa kwa maji lakini Serikali imesema imetoa fedha za dharura kwa ajili ya magonjwa, chakula na kurekebisha miundombinu

756EBC3A-239F-4D47-BDFE-8CA6BA26D619.jpeg

*******

Heavy rains experienced in Eastern Uganda have left 36 people dead after heavy rains swept across a mountainous region.

Rescue teams in Bundibugyo District led by Uganda Red Cross Society revealed that many people are still unaccounted for.

Minister for Disaster Preparedness and Refugees Musa Echweru said the Uganda floods swept over 11 sub counties.

Search and rescue operations in the region have reportedly been hampered because roads have been swept away by the Uganda floods.

Bugisu and Bundibugyo regions near Ruwenzori Mountain were the worst affected.

Mudslides and floods left thousands homeless with APA news reporting that the displaced have been forced to seek shelter in schools and nearby churches.

This after more than 3o houses were swept away by the Uganda floods and property buried in mud slides.

“Most likely Bubukwang transit center is going to house close to 700 people who are displaced in Bundibugyo,” said Irene Nakasita from Ugandan Red Cross.

Musa Echweru further added that the flood affected areas are at risk of getting an out break of water-borne diseases.

“There’s a risk of contamination of water and if that is not handled well, then we are going to risk another phase of a challenge, an outbreak of cholera which will compound our humanitarian intervention,” he said.

The government is said to have released money for emergency drugs to treat water-borne diseases, inflatable boats, tarps, blankets, food, and repairing bridges.

Ugandan authorities say the floods are expected to recede in January.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom