UGANDA: Watanzania 13 wa familia ya Gregory Teu, wafariki katika ajali. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

Mungu awalaze mahala Pema peponi. Poleni sana ndugu, jamaa na marafiki katika msiba mzito.
Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu.

Huwa napinga sana kwa watu wa familia moja au ndugu kusafiri pamoja. Ikitokea la kutokea madhara huwa ni mazito na makubwa sana.
 
RIP, watanzania wenzentu.

Poleni sana wanafamilia na watanzania wote.

It's a menace to travel by road in Uganda.
 
Haya mambo ya abdir achaneni nayo, hivi hatuna ndege ya jeshi ikawachukua na kuwaleta Muhimbili?
 
R.I.P ndugu zetu
naomba kuuliza wakuu japo lipo nje ya uzi
Hivi RAISI anavyotoa salamu ya rambi rambi ni kwamba anatoa hela ama!! na kama ni fedha huwa inacheza kwenye kiasi gani??
 
Too sad!
Big&Bon walikuwa ni watu wangu wa karibu sana!
Tumechana mbao na kuwinda wanyama usiku tukiwa pamoja.
Taarifa hizi nimezipata kwa mshituko mkubwa ama hakika sisi waja wa Mungu tu wapitaji tu hapa Duniani...

Nampa pole mzee Teu na familia yake kiujumla.
Pumzikeni kwa amani wapendwa wote.
 
allah (s.w) awape subira na utulivu ndugu zetu waliopoteza wapendwa wao katika ajali hiyo.
 
God may you rest their hearts in perfect everlasting peace. Amen
 
It's a menace to travel by road in Uganda.
Ajali ni popote Mkuu, hata kwetu hapa Tanzania ajali zimekuwa zikichukua uhai wa watu kibao zaidi hata ya hao 13 at par. Hatuna cha kuwalaumu ndugu zetu wa Uganda.

Kazi ya Mungu haina makosa.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana na libarikiwe, amen.
 
Msiba mzito sana huu, mtoto wa binamu yangu ameoa hapo nao walienda na mkewe wakarudi na ndege. Bila hivyo wangekuwa nao humo. Pole kwa majeruhi tunawaombea uponyaji. Marehemu, Mungu awape pumziko la milele Amina.
 
Back
Top Bottom