Uganda: Wanafunzi milioni 4.5 hawatarudi shule

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
4,158
2,000
Ripoti ya Mamlaka ya Mipango ya Taifa Nchini humo imeonesha Wanafunzi Milioni 4.5 kati ya Milioni 15 hawataweza kurudi Shule kwa sababu mbalimbali

Uganda imefungua Shule hivi karibuni baada ya kuzifunga kwa takriban miaka miwili ili kudhibiti maambukizi ya Corona. Kitendo cha Watoto kukaa nyumbani kimesababisha wengine kupata Ujauzito au kuajiriwa

Wanafunzi wanaotoka mazingira magumu kiuchumi wametajwa kuwa katika hatari zaidi ya kutorudi Shule. Wito umetolewa kwa wadau wa #Elimu kushirikiana kuhakikisha Watoto wanarudi masomoni

===

A report by the National Planning Authority has revealed that 30% that is about 4.5 million of an estimated 15 million learners in the country will drop out of school.

The report that was compiled by the authority in August 2021 and released this month indicates a deteriorating school dropout situation as a result of the effects of the covid19 induced lockdown where many girls were impregnated and became mothers while others took on unskilled jobs to earn an income.

These categories together with those with a poor economic background are the most vulnerable to drop out.

The report further shows that there are signals that many children especially girls and poor children will not return to school even when schools reopen.

The authority is now calling for a multi stake holder approach involving parish chiefs, village churches and local cultural leaders to be adopted to implement a parish level outreach strategy for engaging families with learners that are at high risk of dropping out of school to ensure such children are re-enrolled in school.
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
65,128
2,000
Ndio ujinga wa nchi kuongozwa na dikteta mzee. Dunia nzima shughuli zimesharudi kama kawaida muda mrefu isipokuwa Uganda.

Miaka miwili ina maana waliokuwa waanze darasa la kwanza wakiwa na miaka 7 sasa wataanza na miaka 9.

Usengerema sana huu
 

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,483
2,000
Huyu mzee Ni mpuuzi sana..yaani sijui kwanini ukiwa dikteta automatically unakuwa mjinga..
Amegundua anafanya ujinga..maana virus vinagunduliwa kila kukicha..
 

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
201,706
2,000
Mmh huyu shujaa enzi anamnanga Jiwe kisa corona leo kageuka kutukanwa😂😂😂😂😂😂😂
 

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,414
2,000
Maamuzi ya kichwa kimoja yanasababisha mvurugano utakao gharimu mfumo kwa miongo mitatu.

Hili ni tatizo kubwa sana kwa nchi inayoendeshwa kienyeji.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom