kAMA Kampala mji wa kishamba lkwenu pakoje???????????? mbuu too much bodaboda, hii kwetu ni usafiri wa kawaida na unakufikisha mahari uendapo salama , bei nafuu,na harakaKampala Mji wa kishamba sana ... hauleweki ..too much dusty..too much Boda Boda...miundombinu mibovu
Sent from my iPhone using JamiiForums
miundombinu mibovu kama ipi?????Mbona hapo kwenye miundombinu mibovu haujasema chochote?
...ila warembo si haba kama watutsi vile....Kampala Mji wa kishamba sana ... hauleweki ..too much dusty..too much Boda Boda...miundombinu mibovu
Sent from my iPhone using JamiiForums