Uganda tuachieni tuwafunge walau 5 - 0, kwani si mmeshafuzu?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,035
40,700
Sioni sababu ya Waganda kutubania ndugu zenu, hatujashiriki haya mashindano since 1980, tuoneeni huruma basi na sisi jamani, khaa, msitukazie jirani zetu.
 
kwa vile nyinyi mna jeuri na juzi tu mmemualika Mr. Slim na Slim na mzee wetu Mu7 mapicha hayaendi lei ni kipigo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom