Uganda: Sangoma, Bw. Akuze Damiano amemshtaki Spika wa Bunge Bi. Rebecca akishinikiza kulipwa fedha zake

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,495
3,458
Nchini Uganda imeripotiwa kuwa Mganga wa Jadi Bw. Akuze Damiano amemshtaki Spika wa Bunge Bi. Rebecca akishinikiza kulipwa fedha zake zaidi ya shilingi mil.200 za Uganda anazomdai, Akuze amedai kuwa alimpa Bi. Kadaga huduma ya kumsaidi kupanda vyeo kisiasa. Spika akana tuhuma hizo kwamba si kweli.
1549283984493.png
1549283996659.png

es witchcraft, calls witchdoctor ‘comical fraud’

Speaker Rt Hon Rebecca Alitwala Kadaga has responded to the Jinja witchdoctor Damiano Akuze who dragged her to court demanding Shs200m.

Damiano Akuze in his suit filed at Jinja High Court claims to have maintained Kadaga’s political career for 29 years as well as bringing her to the limelight in the political arena.

He says on September 1, 1990, he administered his spiritual powers on Kadaga at his shrine in Buwala, Buganda Zone, Lulyambuzi Parish in Kamuli District which Kadaga visited seeking help.

She only paid Shs1m in October 2017 and has since refused to pay him the balance. Kadaga had promised to construct for a house worth Shs100m, buy a Tipper truck worth Shs60m, a plot of land at Shs40m and four cows for the healer which she didn’t do.

Kadaga responds

In her response issued by the Clerk to Parliament, Jane Kibirige, said she became a member of parliament in 1989 hence could not have approached Akuze in September 1990.

“The claim that she didn’t have money to pay for the alleged services is laughable. Ms Kadaga has never been a member of EALA,” Kibirige wrote.

Kibirige says Kadaga was appointed a minister in 1996, seven years since she had been elected to parliament.

”Therefore, Mr Akuze’s claim that he catapulted her to the post of minister within a flash should be treated with the contempt it deserves.”

The clerk also notes that Kadaga was elected deputy speaker in 2001 and speaker in 2011 due to hard work but not witchcraft.

“The implication is that he bewitched the entire parliament, the presidency and the whole country to elect Ms Kadaga as speaker. We hope and pray that Akuze’s comical and fraudulent allegations will be dismissed by court.”

She added: “The speaker, a vanguard in the fight for good governance, the rights of the weak and poor; and emancipation of the girl-child on the national and international stage; will remain steadfast in serving the country.”
Kadaga denies witchcraft, calls witchdoctor ‘comical fraud’ | edge
 
Huyu mganga feki. Kama kweli yeye ndiye kamfikisha hapo kwa mkono wake kwanini ahangaike naye, kwanini asimuonesheee tukio moja kwanza kumuonesha kwamba kweli yeye ana nguvu na ndiye aliyemfanikisha badala ya kupigizana kelele kwenye media. Tapeli huyo.
Waganga bana yaani anaweza kumpandisha mtu cheo lakini hawezi kumfanya huyo mu amlipe hela yake
 
Mtakapo muona huyo supika akila nyanya mbovu sokoni ndo mtamwendea huyo mganga na $ za kimarekani. Amlipe haraka kabla hajaaibishwa. Pumbaaf sana. Mtu amekupandisha kwa mkopo sasa unaleta za kuleta ati; Mimi ni mtetezi wa wanyonge. Huyo unayemuibia sio mnyonge?? Basi mnyonge sana ila mlipe haki yake kwanza.
Nawachukia sana hawa wanasiasa wasiojijua
 
Mtakapo muona huyo supika akila nyanya mbovu sokoni ndo mtamwendea huyo mganga na $ za kimarekani. Amlipe haraka kabla hajaaibishwa. Pumbaaf sana. Mtu amekupandisha kwa mkopo sasa unaleta za kuleta ati; Mimi ni mtetezi wa wanyonge. Huyo unayemuibia sio mnyonge?? Basi mnyonge sana ila mlipe haki yake kwanza.
Nawachukia sana hawa wanasiasa wasiojijua
Hivi hata hujiulizi,!? Ikiwa kampandisha cheo, ana haja gani ya kumpeleka mahakamani, c amshushe cheo very simple!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hata hujiulizi,!? Ikiwa kampandisha cheo, ana haja gani ya kumpeleka mahakamani, c amshushe cheo very simple!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo basi ujue sakata limeanzia mbali. Alimuomba kiustaarabu supika akamkatalia na kumtishia. Ndio maana sangoma kaona amuweke hadharani ili akijamuumbua asilaumiwe.
 
Hivi itokee mabadiliko tu ya kawaida si ujiko tayari Kwa mganga
Dah mlipe tu isije kutokea la kutokea mganga akajisifu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom