Uganda: Rais Museveni amshukuru Rais Samia kwa kumruhusu kuuza sukari Tanzania

Mwendazake alisema analinda viwanda vya ndani Wakati bado havijaweza kuzalisha bidhaa za kukidhi uhitaji ( demand) hakuelewa anawaumiza wananchi na kusababidha mfumko wa bei
 
Nimenunua hii bei chee kama pakiti tatu wakati nipo pale Tunduma ,swali la kizushi kwa nn wa mama wengi kule Tunduma wanajihusisha na uuzaji wa Sukari?Jibu linaweza kuwa rahisi kwamba wanapata faida kubwa.

Kama tumeruhusu sukari iingie toka Uganda tambua hata hiyo inayokuja toka Uganda bado haikidhi mahitaji demand ya sukari ni kubwa sana ndio maana Mbeya na Tunduma baadhi wanatumia sukari ya Zambia.
Hata Burundi na Kenya nao kama wanasukari ya kutosha watuletee nao zamani sukari ilikuwa kilo buku leo buku 2 ndio maana watoto wengi wanapatwa na utapia mlo kwa kunywa uji usio na sukari😂

IMG_20210512_142900.jpg
 
Kwa ukubwa wa ardhi ya Tanzania (Tanganyika) Kenya+Uganda+Rwanda+Burundi bado kupa ardhi inabakia.

Ni habari njema kwa Uganda kuuza sukari Tanzania.
Ila nadhani si habari njema kuuziwa sukari ambayo kama kuna investment financial instrument zingetumika, Tanzania ungeweza kuzalisha sukari ya domestic & industrial use.

Sijui tunakosea wapi sisi Watanganyika?
Maana bado tuna import soft brooms, toothpick, miswaki, duster za ubaoni, chaki za kuandika, daftari za kuandikia.

Lini tutafika?

F
Kwa miaka mingapi hivyo viwanda vya tz vimepewa nafasi ila vimeshindwa kukidhi mahitaji ya soko? Yaani viwanda viendelee kuwafanya watu wakose sukari kisa bei ipo juu kutokana na demand kuwa kubwa kuliko supply? Acha sukari ije bei ishuke, simple!
 
Mama yetu kaongea kweli na wazalishaji na wafanyabiashara wa sukari wa Tz kabla ya kutoa hiyo ruhusa? Ngoja tuone.
Jana tu Prof Kitila Mkumbo kaongea nao wa sukari na wa mafuta ya kura hawana jipya ndio maana mama kajiongeza watoto tusinywe chai ya chuku chuku
 
Acheni afanye ndiyo mlikuwa mnataka, nchi ifunguke ingawa bado mengine ya ajabu yanakuja ngoja tuone anakoenda mpaka kumaliza zile siku 100 tutapata jibu mujarabu!
Majibu yepi unasubiri kaka!!
wakati pepa nyeupe unaiona
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom