Tengenezeni viwanda. Sio mwenda zake ana sema mna linda viwanda vya ndani wakati hamna hivyo viwandaHayahaya tuliyakataa, nchi haiwezi kuendelea kwa kuimport tu. Sasa pesa yetu ya madafu inaenda kuzorota zaidi.
Mbona wewe unapiga kelele badala ya kuwekeza Ili tununue sukari bei ya chini?Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
washenzi wale panyaPesa za wastaafu yule shujaa alizochukua kwenye mifuko ya wastaafu na kwenda kujengea kiwanda cha sukari/mashamba ya miwa kinazalisha tani ngapi kwa mwaka?
Sawa kwani shida nn,tunataka bei ya sukari ishuke la sivyo zalisheni afu mlalamike mnakosa soko sio kutuuzia bei ya kuumiza Kisa hamna uwezo wa kuzalisha pumbavuSukari itatoka Brazil, Asia, itapita Mombasa au Dar es salaam port itaenda Uganda itakunja kona kurudi kuuzwa TZ.
Bimkubwa anagawa mambo tu sasa hivi washikaj dy/dxHabari wadau!
Sasa kilio cha upungufu wa sukari kitapungua maana mama amefungua milango na kuumuru sukari iingie nchini.
Mubashara toka Kalolo Uganda kupitia TBC 1 kwenye uapisho wa Rais Museveni amshukuru Rais wa JMT mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kwa kumruhusu kuiuzia Sukari ya Uganda nchini Tanzania.
Asante mama tuna imani na wewe endelea kufungua milango yote iliyofungwa ili kazi iendelee.
Mitano tena kwa mama
Anza wewe kuzalisha Acha makele ya kijingaKwa ukubwa wa ardhi ya Tanzania (Tanganyika) Kenya+Uganda+Rwanda+Burundi bado kupa ardhi inabakia.
Ni habari njema kwa Uganda kuuza sukari Tanzania.
Ila nadhani si habari njema kuuziwa sukari ambayo kama kuna investment financial instrument zingetumika, Tanzania ungeweza kuzalisha sukari ya domestic & industrial use.
Sijui tunakosea wapi sisi Watanganyika?
Maana bado tuna import soft brooms, toothpick, miswaki, duster za ubaoni, chaki za kuandika, daftari za kuandikia.
Lini tutafika?
F
Wewe unaexport bidhaa gani Uganda?
Aliyekuwa aliyekuwa akifanya roho mbaya huku kwetu ni nani ?Wao walikuwa hawapingi ni sisi wenyewe tu tulikuwa tukifanyiana roho mbaya kuzuiana. Sijawahi sikia tamko la Uganda kuzuia kahawa kuuzwa Uganda. Labda nimesahau.
Sasa tubaki kusubiria long term plan yako huku tunaumia? Shenzi kabisa.Zalisha anza kulia soko usaidiwe sio kupayuka kama chilikuKuagiza Nje ni Short term planning,
Kuimarisha Viwanda vyetu vya ndani ili viongeze uzalishaji na kuhimiza kujengwa Viwanda vipya Mfano kile Cha Jeshi la Magereza Kule Mbigiri/Dakawa~Morogoro hiyo ni Long Term Plan yenye manufaa mengi na endelevu ya muda mrefu.
Tuambie tuna viwanda vingapi vya sukari?, na vinamiliki hekari ngapi za Ardhi, sasa tuambie kwanini sukari haitoshi na kwa nini sukari kwetu tsh 3,000 na Uganda ni Kama 1,500.na kwanini kwetu imekuwa ni Kama anasa .tunataka uwekezaji ulete unafuu wa maisha kwa watanzania Kwanzaa..Huyu mama ni mkurupukaji sana, sijui hana washauri au hao washauri ndo wanamuingiza chaka, mweeeeeh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Tzn ya viwanda iliishia wapi? Pumbavu juzi Kati maza kazindua kiwanda Dom cha smart phoneHuyu Maza anaiuza kijani. Sie tunamchora tu. Katika hotuba zake sijawahi sikia japo neno kiwanda.
Uingizaji hautakuwa wa hovyo wewe ,itakuwa ni quortaHao akina Bagamoyo Sugar Ltd kama walianzisha viwanda kisa tu wamehakikishiwa soko lipo kisa sukari ya nje imezuiwa basi wajiandae kisaikolojia.
Juni hii kiwanda kinatarajia kuanza uzalishaji halafu bimkubwa kapiga fungulia mbwa!
BTW:Bakhresa ana uzoefu na ushindani wa kibiashara naamini haitakuwa issue sana kupenya sokoni.
Nchi wanabana wanajua watu wengi watakuwa mabilionea.
Nchi hii kuna watu wanataka pekee yao.
Ndiyo wawe na mabilion,pekee yao ndiyo.
Wafanye biashara export,import
Ova
Wapumbavu waliosalia baada ya marchYaani kuna wale watu kila wakigusa dhahabu linageuka jiwe ndio hawa, hawana options zozote ila wao kila jema wanachukia tu sisi kuuza nje sawa lakini tusinunue kitu na hasa wivu kwa majirani zetu lakini wachina hata wajaze soko la Kariakoo tuko sawa tu.
Mahitaji gani ya soko bei ziko juu kiasi hiki? Sukari Tulikuwa tunanunua 1800-2200 hii ya zaidi ya 3,000 ndio bei ya mahitaji ya soko?Lazima tuwe makini sana tusije tukaua kabisa viwanda vyote vya sukari maana sukari ilikuwa inaingizwa kwa kuzingatia mahitaji ya soko...
Ukiruhusu uingizwaji bila kucheki mara mbili ni lazima tuchague kuuwa viwanda vyote!
Wa viwanda vya maziwa wajiandae kuvifunga maana ile ongozeko la ushuru kwenye bidhaa ya maziwa toka nje lazima liondolewe ili maziwa ya kenya yauzwe kwa wingi nchini