Uganda Minister assaulted by the Chinese after they lost out on a Tender

Bundi mwenzangu usiyejaliwa usingizi umejifunza nini ?
"Rushwa ni adui mkubwa wa haki" kama wange fanikiwa kupata tender hiyo hakika wangefanya kwa kiwango cha chini ya kiwango kwa sababu wamebebwa na MTU kwa kumpa rushwa na hana uwezo wa kuuuliza kwa sababu anajua chake kashakichua tyr

Zingatia hili ukiona MTU anatoa rushwa kwa kazi kama hzo jua hana Sifa ndio maana anajalibu kushawishi kwa pesa zake
 
Kuna vijana pale TSNROADS mjini wanazipiga hela za wachina ni balaa. Wakienda kukagua barabara mikoani wanarudi na viroba vya hela. Nashangaa TAKURUKURU hawalitambui hili ilhali wanspitia barabara na madaraja hayo hayo
 
aaah Mzee pesa ni kitu kingne kabisa
 
Mbona sijaona ngumi wala kelbu moja ikitua kwa waziri husika. Hapo wameshikana mashati tu. Ingefaa apate moja ya uzani ili atapike rushwa yote hapo hapo. Nyambaffff
 
Mchina anapata wapi ujasiri wa kumpiga waziri halali wa taifa la kigeni? Napata shaka miaka kadhaa ijayo waafrika watafutika barani humu badala yake wachina watachukua nafasi
We hujui kuwa hizo pesa mchina alizotoa akirudi kwao watamnyonga?
 
Mchina anapata wapi ujasiri wa kumpiga waziri halali wa taifa la kigeni? Napata shaka miaka kadhaa ijayo waafrika watafutika barani humu badala yake wachina watachukua nafasi
Hii siyo uwongo. Wachina wanaamini sana katika rushwa. Na wakiishatoa rushwa hawana adabu kabisa.
 
Back
Top Bottom