UGANDA: Mbunge akubali kurudia mtihani wa kidato cha nne baada ya kushinda kesi ya pingamizi dhidi ya vyeti vyake

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Feb 1, 2015
2,300
2,716
Mbunge wa jimbo la Busiro Kusini huko Uganda imemlazimu kwa hiari yake mwenyewe arudie kufanya mtihani wa darasa la nane nchini Uganda baaada ya kesi ya pingamizi dhidi ya Ubashite wa vyeti vyake.

Tunalo la kujifunza hapa kwa waheshimiwa wetu wabunge ambao wana vyeti na profile za kuungaunga warudi Necta waka weke sawa vyeti vyao vya elimu.

Mbunge huyu alidai alisoma Secondary Kings College lakini hakuwai kufanya ithibati ya cheti chake katika mamlaka ya elimu nchini humo.
 
Huku Tanzania wenye vyeti feki walikuwa wafanyakazi wa serikali tu...

Wale wanasiasa(wateule) na wafanyakazi wa sekta binafsi Ni huru kuwa na cheti feki au batili...
 
Back
Top Bottom