Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,300
- 2,716
Mbunge wa jimbo la Busiro Kusini huko Uganda imemlazimu kwa hiari yake mwenyewe arudie kufanya mtihani wa darasa la nane nchini Uganda baaada ya kesi ya pingamizi dhidi ya Ubashite wa vyeti vyake.
Tunalo la kujifunza hapa kwa waheshimiwa wetu wabunge ambao wana vyeti na profile za kuungaunga warudi Necta waka weke sawa vyeti vyao vya elimu.
Mbunge huyu alidai alisoma Secondary Kings College lakini hakuwai kufanya ithibati ya cheti chake katika mamlaka ya elimu nchini humo.