mizan254
Member
- May 15, 2017
- 21
- 18
strugglers. kipofu anamwonesha mwenzake njia
I deliberately brought these topics in that order... Still waiting for TZ fellows to tell us about the mess they've created for their friend M7Hii mada imekaa kiajabu ajabu, kuzunguka mbuyu.
- Uganda wanataka kuhamia Tanzania waunge kwenye SGR yao
- Tanzania inahamgaika kupata hela za kufanikisha reli, hadi Magu amemwomba Zuma amtafutie mkopo
- Magu amewaomba benki kuu wagharamie, lakini wao wamegoma baada ya kusema SGR haifa huku EAC
Hawa Waganda wakae na kutulia sio kuyumba yumba, Mchina aliwaambia wazi kwamba hatowapa mkopo wa SGR bila Kenya kudhamini.
2014. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the Tanzania strikes a deal with the Chinese Government through its Exim Bank on construction of 1,500 Km of the SGR Railway, just like Uhuru had done a year earlier. The SGR line was to start from the coast of DareSalam to Rwanda and Burundi through Uganda. Kagame and Museveni received the news with great positivity. They quickly divorced the earlier deal they had sealed with Uhuru Kenyatta.
So, commissioning of the new Tanzanian SGR was to happen in November of 2015 but, coincidentally, Kikwete's Presidential tenure lapsed the same month.
Came in John Pombe Magufuli.
And the Chinese Government cancelled their financing.
China accused Magufuli of being too difficult to work with.
Magufuli went to the World Bank, he was denied the financing. In fact, the arrogant World Bank asked him to go and repair the old, obsolete line.
He approached the AfDB, no avail.
He has been to the IMF, in vain.
He severally wrote to the BRICs Development Bank , even begging Zuma for intervention, bure kabisa.
He has been to the Turkish Exim Bank, hakuna matumaini.
So, the disappointed Museveni and Kagame are back to Uhuru Kenyatta to say sorry.....
Meanwhile, the Kenyan SGR begins operations next week.
Mombasa to Nairobi =480km
Nairobi to Kisumu =360km
Kisumu to Malaba = 120km
Pahali tumetoka ndio mbali
Hio tu ndo kazi mnajua. Kupika. Nothing else.Yaani wakenya siku hizi hamlali lazima mtafte za chini ya kapeti za tz halafu mtie chumvi! Ona sasa mnavyojilisha upepo kila siku!
Mshajua SGR yetu itakuja kuwashika pabaya! Haya endeleeni kujilisha upepo sisi tupo jikoni tunapika, tukiivisha tutawakaribisha chakula
Halafu wewe unajua kupakua!Hio tu ndo kazi mnajua. Kupika. Nothing else.