Pistol
Senior Member
- Oct 13, 2015
- 194
- 86
Waziri wa fedha wa Uganda ,Matai Kasaija, atasoma bajeti yake ambayo imengezeka , ikilinganishwa na iliyokuwa kwa mwaka huu wa fedha unaomalizika .
Mei 3, mwaka huu wabunge walipitisha bajeti ya shilingi za Uganda , trilioni 26.3, ikilinganishwa na trilioni 24 za mwaka huu wa fedha 2015/16.
Bajeti hiyo itakapopita itatoa fursa kwa chama tawala cha National Resistance Movement (NRM), Kutekeleza baadhi ya ahadi zake alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi zilizomrudisha tena madarakani ,Rais Yoweri Museveni.
Kwa mujibu ya Kasaija, sehemu kubwa kubwa ya fedha hizo itatokana na mapato ya ndani, ambako alisema walipa kodi wa ndani watagharamia asilimia 70 ya bajeti hiyo.
Kwa mujibu wa nyaraka ya bajeti, Mamlaka ya mapato ya uganda (URA), imepangiwa lengo la kukusanya shilingi trilioni 12.9, mwaka wa fedha wa 2016/17.