Angebaki huko kwake Uganda bila kuingia Kagera poa tu ila tamaa imemfanya hivyo anavyochukuliwa hivyo….unaweza kuona nonsense but kuna mengi mazuri kuhusu huyu mtu lakini wameyaficha
Angebaki huko kwake Uganda bila kuingia Kagera poa tu ila tamaa imemfanya hivyo anavyochukuliwa hivyo….unaweza kuona nonsense but kuna mengi mazuri kuhusu huyu mtu lakini wameyaficha
Kwenye aya ya mwisho pale "kuikanyaga kanyaga bendera ya CCM" ingekuwa imetokea miaka ya hivi karibuni hata Tanzania kungekuwa na vita (sisimua dhidi ya washangiliaji) vya wenyewe kwa wenyewe.Ni vyema ukawa mchunguzi wa histry na kuzungumzia ukweli kuliko hisia tetesi na mihemko hasa ukizingatia watu humu ndani Ni wepesi kuaminisha...
Amin alitaka mpaka wake uwe bandari ya Tanga na alitamka hivyo akiikanyaga kanyaga bendera ya CCM pale alikuwa njiani tuu...
Kwa kuwa ameshatangulia mbele ya hakiMuseveni alikubali hili kweli?
Natokea chato na nmezaliwa 2019Bila shaka itakuwa aidha unatokea Butiama au umezaliwa 1995>>>
Mkuu wewe uliishi na idd au na wewe umesoma tu kama mimiHiyo historia ya uwongo
Hakuna mamlaka isiyokuwa na mapungufu na hakuna mtawala malaikaMuseveni alikubali hili kweli?
umeongea point mkuuBahati mbaya Historia ya Amini inaandikwa kwa kalamu ya Maadui zake na kusomwa katika miwani ya Maadui zake na wasio maadui zake wanajua Historia nyingine kabisa
mtwa mkuluHakuna jema alilolifanya kaidada zaidi ya hayo mapicha yaliyotupiwa hapo juu.... Alikuwa kibaraka mkubwa wa mkulima wa kizungu Bob astless na hili liko wazi Sana... Alikuwa kibaraka wa queen Elizabeth na kwa hili histry haidanganyi....
Alimuua yule General mzuri maskini nimesahau tuu jina lake mwanzoni kabla ya mapinduzi.. akaruka kwenye kilichotajwa seng'eng'e kwenye vitabu vya kumbukumbu kiasi Cha kujeruhika mwili wake mbona hili lipibwazi Sana. Kwa ushauri wa Bob na kwaamri yake alimuua Askofu Janan Luwumu maskini asiye na hatia na kusingizia ajali ya gari.. mbona hili sio Siri na Ni yeye na Bob walionekana lastly na marehemu.
Yapo maovu mengi jamaa amefanya na kumbuka dunia haikumuona Kama dikteta hakukuwepo walio kuwa upande wa mwalimu rejea malalamiko aliyoyatoa mwalimu kipindi kile.
Msimponde mwalimu kwa kila issue nyie vijana muwe na utu
Echolima mkongwe Kuna uzi huku
Nimeambatanisha picha ya Askofu Luwumu RIP
View attachment 1193184View attachment 1193185
Hebu tupe wewe historia nzuri ya kumpamba IDD AMIN maana huyo hapambiki kabisa vitendo alivyovifanya vinamfuata nyuma yake wewe utamsafisha vipi???.Bahati mbaya Historia ya Amini inaandikwa kwa kalamu ya Maadui zake na kusomwa katika miwani ya Maadui zake na wasio maadui zake wanajua Historia nyingine kabisa
Idd amin dada mla nyama za watu..
Muua mtoto wake mwenyewe.
Kawamwaga watu mto wa mamba.
Kaua ndugu zetu wa kagera na mabomu yake.
Huyu boya tulitakiwa kumdaka tukamfunga bongo hapa hapa akawa analima na kuchunga ng'ombe.
Kasome vitabu.... cheki documentaries...hizo ndo sifa za idd aminiMuwe mnatumia walau muda wenu kidogo kutafuta ukweli wa mambo badala ya kuziachia akili zenu kulishwa ujinga na kuamini ujinga huo ndiyo ukweli. Haya uliyoandika ni upuuzi mtupu na msomi yeyote hawezi kuandika upuuzi huu.
Kasome vitabu.... cheki documentaries...hizo ndo sifa za idd aminiMuwe mnatumia walau muda wenu kidogo kutafuta ukweli wa mambo badala ya kuziachia akili zenu kulishwa ujinga na kuamini ujinga huo ndiyo ukweli. Haya uliyoandika ni upuuzi mtupu na msomi yeyote hawezi kuandika upuuzi huu.