Uganda kuidhinisha Kiswahili kama lugha ya pili baada ya Kingereza - Wakenya fursa hizooo

Angalia ulichoandika hapa, aisei mna matatizo sana ya kiufasaha, huzingatii alama za uakifishaji, Kiswahili chenyewe kibovu, mnatia huruma sana nyie, Kingereza kimewashinda, uandishi wenu wa Kiswahili unatia kinyaa, lugha za asili ndio hata hamjui salamu.
Sasa suala la alama za uafikishaji lina uhusiano gani na ufasaha wa Kiswahili?! Au ukumbushwe kwamba hizo alama hazina lugha, na kuzifahamu kwake kunategemea na ujuzi wako kiuandishi, na sio ujuzi wako wa lugha!!
 
Any Kenyan mwenye amepitia shule anaelewa English. Some may not be able to use it fluently in a conversation but trust moi, they understand. They get the message
Sio kweli unayosema, soma post #46 ya Tony254, wakenya wanaoweza kusikiliza na kuelewa hotuba au mazungumzo kwa lugha ya kiingereza ni chini ya 45%, na wengi ni wale wanaokaa mijini. Haiwezikane wakazi wa Samburu, Turkana, Wajir na Kajiado na mijikenda waweze kuelewa mazungumzo kwa kiingereza.

70% ya wakenya wanauwezo wa kuelewa hotuba au mazungumzo kwa lugha ya kiswahili, kwanini viongozi wenu, na TV na Magazeti Mengi yanatumia lugha ya kiingereza badala ya Kiswahili?
 
Unataka kuniambia watu wa Zan, Msa na Mal hawana lugha zao za asili ukiachana na kiswahili?
Namaanisha Kiswahili ni L2 kwako, like most Kenyans and Tanzanians. Wewe si L1 speaker. Say like those guys in Zanzibar or Mombasa or Malindi
 
Show me in this world, a country which uses official language in their daily government activities instead of its national language.

Kenyan national currency is Ksh. But $ is official language, why don't you use $ in your daily transaction instead of Ksh?.
Kenya uses .
 
Kuna difference ya 'kuelewa' na 'kuzungumza'. Less that 50% ya kenyans are fluent but a huuuge number do understand English. They cannot speak but wanaelewa coz everything here is taught in English.
Acha kuzingusha Maneno, 70% ya wakenya wanaweza kuelewa ujumbe unaotolewa kwa kiswahili, na 45% wanaweza kuelewa ujumbe unaotolewa kwa kiingereza, kwanini msitoe ujumbe kwa lugha inayoeleweka kwa watu wengi?
 
Accent ya wasukuma ni bora mara 100,
Gari mnaita ngari
Kuchanganya mnaita kushanganya
Box mnaita mbox
Tushinde Wanasema tusinde
Shule mnasema sure
Busy mnasema mbise
Hapo niko meru sijafika kikuyu.
sio wote,ni kiraitu pekee anazungumza Hivyo wala Haimaanishi hajui Kiswahili ni lugha ya mama ,hata Tanzania kuna wameru na pia Wana hayo matatizo.
 
Ukiongea kingereza kenya ndo utaonekana una IQ kubwa, intelligence nk
Lakini njaa haijui lugha.

Teh.. Teh.. Teh halafu wanajiitaka wao ni global minded people a.k.a problem solving machines, kumbe hata uhakika wa kula hawana?

Global minded people walipo kwenye dunia ya pili bado wana struggle kukabiliana na njaa!!?

Hao majirani zetu hizo akili kubwa wanazojivuniaga wanazitumia wapi? Kuamasisha ukabila ama?
 
Na venye watu wanadanganywa eti wakenya wamepewa akili ipi hiyo.
Teh.. Teh.. Teh halafu wanajiitaka wao ni global minded people a.k.a problem solving machines, kumbe hata uhakika wa kula hawana?

Global minded people walipo kwenye dunia ya pili bado wana struggle kukabiliana na njaa!!?

Hao majirani zetu hizo akili kubwa wanazojivuniaga wanazitumia wapi? Kuamasisha ukabila ama?
 
Sasa kwanini msitumie lugha yenu ya taifa pekee ambayo ndio inayoeleweka na wengi, hii habari ya mtu kufafsiriwa ndani ya nchi yake inakuaje?
Kutafsiriwa kwafanyika kote duniani hadi malangoni pako , mbona yule mchawi aliepatikana Kwa nyumba ya mchungaji kule morogoro alikua anazungumza lugha ya asili na wanatafsiri Kwa Kiswahili? Hilo pia linaonesha Kiswahili hawakijui watanzania wote.
 
Sio kweli unayosema, soma post #46 ya Tony254, wakenya wanaoweza kusikiliza na kuelewa hotuba au mazungumzo kwa lugha ya kiingereza ni chini ya 45%, na wengi ni wale wanaokaa mijini. Haiwezikane wakazi wa Samburu, Turkana, Wajir na Kajiado na mijikenda waweze kuelewa mazungumzo kwa kiingereza.

70% ya wakenya wanauwezo wa kuelewa hotuba au mazungumzo kwa lugha ya kiswahili, kwanini viongozi wenu, na TV na Magazeti Mengi yanatumia lugha ya kiingereza badala ya Kiswahili?
Kila mkenya ambaye alifika darasa la Saba Kwa ule mtaala wa Kenyatta senior na darasa la nane Kwa mtaala wa moi maarufu kama 8-4-4 wote wanaelewa kingereza huenda wasizungumze vizuri lakini wataelewa kinachozungumziwa.
 
Hawa wakenya inabidi wadhibitiwe hata kwa minyororo ili wasituharibie Kiswahili chetu!

Wakenya mkubali hamjui Kiswahili ninyi. Hamjui kabisa.

Ninyi bakini na hicho Kiingereza chenu cha makombo ya mzungu ambacho nacho pia hamkijui. Mnababaika tu kama majibwa ya kikoloni.

Tafadhali. Kiacheni Kiswahili msiwe na kiherehere nacho maana hicho si chenu!

Badala yake tunawaomba mje madarasani tuwafunze Kiswahili kama ambavyo tunawafunza waafrika wengine.
 
Yaani umesema lugha ambayo wakenya wengi wanaielewa ni kiswahili alafu viongozi wenu wakiwa wanazungumza na wananchi Wanatumia kingereza alafu kuna watu wanatafsiri kwa kiswahili ili "hadhira" waelewe,
Naomba unijibu hapa, kwanini wasitumie lugha ya kiswahili ili wakenya wasiojua kingereza waelewa kwa ufasaha kuliko kutafsiriwa tena?
Note: Hadhira ni watu wanaotarajiwa kupokea Ujumbe.
Hadhira sio kitu cha kunifunza mie. Kiswahili nimekisoma shule ya msingi na ya upili. Kwa ujumla zaidi ya miaka kumi. Nikirudi kwa swali lako,tafsiri inafanywa kwani kingereza ni lugha rasmi bali kiswahili ni lugha ya taifa. Tofauti hapo ni kuwa lugha rasmi ndio inayotumika katika stakabadhi za kiserikali na kwa maofisi ya serikali bali lugha ya taifa ni ile umatti unaoizungumza
 
Hujanijibu chochote hapa zaidi ya kujitetea,
Umesema kiswahili ndio lugha inayofahamika na wakenya wengi,
Sasa kwanini kiswahili kisitumike kama lugha rasmi ikiwemo kwenye mikutano ya wananchi ambapo wengi hawajui kingereza?
Huoni huo ni ujinga kutafsiri wakati kuna lugha inayofahamika na wengi au serikali yenu wanatoka kwa wazungu
Alafu tukiwaambia mpo utumwani bado mnachukia.
Hadhira sio kitu cha kunifunza mie. Kiswahili nimekisoma shule ya msingi na ya upili. Kwa ujumla zaidi ya miaka kumi. Nikirudi kwa swali lako,tafsiri inafanywa kwani kingereza ni lugha rasmi bali kiswahili ni lugha ya taifa. Tofauti hapo ni kuwa lugha rasmi ndio inayotumika katika stakabadhi za kiserikali na kwa maofisi ya serikali bali lugha ya taifa ni ile umatti unaoizungumza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom