Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,502
- 1,047
We umeona hakitumiki?How comes a primary language isitumike popote kwenye Shughuli za Kiserikali za Kenya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We umeona hakitumiki?How comes a primary language isitumike popote kwenye Shughuli za Kiserikali za Kenya?
Lugha za asili wanazielewa Ila wanajifanya tu, ukitembea mikoani utasikia wakizungumza ,sasa Kiswahili ni janga kwao wapwani wapo Sawa lakini wabara hata usiseme wanatia huruma kweli.Angalia ulichoandika hapa, aisei mna matatizo sana ya kiufasaha, huzingatii alama za uakifishaji, Kiswahili chenyewe kibovu, mnatia huruma sana nyie, Kingereza kimewashinda, uandishi wenu wa Kiswahili unatia kinyaa, lugha za asili ndio hata hamjui salamu.
Na Ile accent ya wasukuma ndio lugha Safi kabisa?.Asee kwa hiyo wataka kuniambia ile accent ya kikuyu na meru ni lugha safi kabisa.
I will put it in English , official language in Kenya is English and national language is Swahili.Katiba ya Kenya imetamka wazi wazi kwamba lugha ya taifa Kenya ni Kiswahili, hakuna mahali popote katika katiba yenu panaposema lugha rasmi ya shughuli za serikali ni Kiingereza, acha uongo.
60% ya wakenya hawakifahamu kiingereza kwa ufasaha, sasa kama serikali lugha yake rasmi ni kiingereza, serika ya Kenya ni kwa ajili ya 40% pekee?
Hawa majirani huwa wananishangaza sana. Wanajikutaga wajuaji sana wakati huwa ni mapoyoyo tu ambao mpaka leo bado yako chini ya ukoloni.Hivi wakenya ni lugha gani wanaeza toka kifua mbele na kujidai wanajua kuizungumza bila kuchanganya labda lugha zao za asili.
Ukija Kenya utapata kila Mkenya yaani takriban 95%, kwa kukisia, ya Wakenya wanaongea kiswahili lakini Wakenya wanaozungumza kingereza majumbani mwao hawajapita asilimia hamsini. Pengine useme kiswahili cha Kenya sio kizuri kama cha Tanzania, lakini usiseme kwamba Wakenya hawakipendi Kiswahili.Hata Kiswahili pia hawajui, "Kenya is a confused country as far as language is concern, the same for Uganda"
Mwananchi akitaka huduma ya serikali na haelewi kingereza bila Shaka atatafsiriwa na yule anaemhudumia na ndio maana pia tuna habari za saa moja Kwa wale ambao hawaelewi kingereza na saa tatu Kwa wasomi.Katiba ya Kenya imetamka wazi wazi kwamba lugha ya taifa Kenya ni Kiswahili, hakuna mahali popote katika katiba yenu panaposema lugha rasmi ya shughuli za serikali ni Kiingereza, acha uongo.
60% ya wakenya hawakifahamu kiingereza kwa ufasaha, sasa kama serikali lugha yake rasmi ni kiingereza, serika ya Kenya ni kwa ajili ya 40% pekee?
Show me in this world, a country which uses official language in their daily government activities instead of its national language.I will put it in English , official language in Kenya is English and national language is Swahili.
Nina vijana wangu wanasoma Kampala shule Fulani,hapo pana mwalimu wa kiswahili kutoka Kenya,kama pana shida kubwa ya kiswahili ni hapo shuleni maana kiswahili kinachozungumzwa na kufundishwa na Huyo mwalimu ni majanga matupu hadi inatia huruma kwa wanafunzi hao wanaopenda kujua kiswahili kisha wafundishwe na mwl zuzu kiasi kile,mwl yule akafanya makosa ya wakati Fulani kuwapa kipindi vijana wale wa ki Tz kuwafundisha wenzao hapo ndipo alipozodoka maana wanafunzi wale hawakupenda tens wafundishwe na mwl yule. Kwa ujumla wenzetu wakenya kiswahili in lugha yenu imewafaa muitumie lakini hamuijui.Miaka hii ya karne tuliyomo kujisifia kujua lugha isiyo ya taifa lako (English) in uzuzu mwingine mkubwa kwa nini usijisifie kikaramajong! Waangalie Wajapan,Wachina,Wakorea, Wahindi no wachache kwa kutaja .Zama za ushamba zimepita wana EA tujenge chetu.Uandishi wa Kiswahili ni changamoto sana kwa Watanzania, ukizingatia huwa hamjui kuongea au kuandika kwa lugha nyingine yoyote, hata zenu za asili hamzijui, mnatia huruma.
Kama wakenya wanaoelewa kiingereza ni chini ya 50%, vipi rais na viongozi wengine wa serikali wanapotoa hotuba kwa taifa zima wanatumia kiingereza, ina maana wanawatenga wakenya walio wengi na kuwathamini wachache wenye kujua kiingereza?. Tukisema Kenya haiwajali wananchi wa ngazi za chini tunakosea?Ukija Kenya utapata kila Mkenya yaani takriban 95%, kwa kukisia, ya Wakenya wanaongea kiswahili lakini Wakenya wanaozungumza kingereza majumbani mwao hawajapita asilimia hamsini. Pengine useme kiswahili cha Kenya sio kizuri kama cha Tanzania, lakini usiseme kwamba Wakenya hawakipendi Kiswahili.
Ni kweli kwa kiwango fulani. Kumbuka sio kila Mkenya amesoma. Ili mtu aelewe kingereza lazima awe na masomo ya kutosha. Pengine hadi darasa la sita, kwa kukisia tu, ila sio kila Mkenya amefika kiwango hicho cha masomo. Kumbuka kuhusu kiswahili kila mtoto wa miaka miwili au mitatu anakiongea bila shida. Halafu siku hizi watoto wanaongea kiswahili na kingereza bila kuongea lugha ya mama. Kwa mfano watoto wa jamii za Kenya kwa mfano ya kikuyu, Luhya, na nyingine hawajui kuongea lugha hizo. Ina uzuri wake na ubaya wake. Uzuri ni kuwa inapunguza ukabila, ubaya ni kuwa inatenga hao watoto kutoka kwa watu wao ambao pengine hawajui lugha nyingine isipokuwa ya mama. Kwa mfano babu au nyanya anayezungumza lugha ya mama pekee anaweza kosa kuelewana na mtoto anayezungumza kiswahili na kingereza pekee. Lakini katika sherehe za kitaifa hotuba rasmi hutolewa kwa kingereza halafu baadaye rais anatafsiri kwa kiswahili .Kama wakenya wanaoelewa kiingereza ni chini ya 50%, vipi rais na viongozi wengine wa serikali wanapotoa hotuba kwa taifa zima wanatumia kiingereza, ina maana wanawatenga wakenya walio wengi na kuwathamini wachache wenye kujua kiingereza?. Tukisema Kenya haiwajali wananchi wa ngazi za chini tunakosea?
Na Ile accent ya wasukuma ndio lugha Safi kabisa?.
Hawa majirani huwa wananishangaza sana. Wanajikutaga wajuaji sana wakati huwa ni mapoyoyo tu ambao mpaka leo bado yako chini ya ukoloni.
Mkenya anajivunia kuijua lugha ya kingereza kukiko hata muingereza mwenyewe.
Ukiskiliza maprofesa wao wakiwa wanaongea wanavyopachika misamiati migumu, mpaka mtu unajiuliza hivi huyu anatafuta sifa ama!? Maana hata akina Theresa May ambao ndio wenye lugha hii hawafanyagi huu upuuzi kwenye speech zao.
Cha ajabu zaidi hawa hawa wakenya wanaojinasibu kuwa wajuvi wa lugha hii ukiwakuta kwenye maongezi yao hawawezi kuongea sentensi tano bila kuchanganya neno la kiswahili(tena kibovu) halafu hapo hapo hawaishi kutunanga kwamba hatujui kiswahili wala kiingereza sababu tunaongea sana kiswangilish, wakati wao wenyewe ndio waongeaji wazuri wa hicho kiswanglish.
Halafu sasa hata hicho kingereza chenyewe wanavyoyatamka matamshi yake baadhi utatamani uombe subtitle yaani ni vituko vituko. Kiufupi hawa jamaa hawana lugha wanayopaswa kujivinia kati ya hizi mbili maana bado ni wagonjwa wa lugha zote mbili, afadhari hata Tanzania katika ya hizi ligha mbili ni moja tu ndio inayotupa shida.
Sasa kwanini msitumie lugha yenu ya taifa pekee ambayo ndio inayoeleweka na wengi, hii habari ya mtu kufafsiriwa ndani ya nchi yake inakuaje?Mwananchi akitaka huduma ya serikali na haelewi kingereza bila Shaka atatafsiriwa na yule anaemhudumia na ndio maana pia tuna habari za saa moja Kwa wale ambao hawaelewi kingereza na saa tatu Kwa wasomi.
everyone has an accent kama si native language yake. I am sure swahili si native language yakoAsee kwa hiyo wataka kuniambia ile accent ya kikuyu na meru ni lugha safi kabisa.
Any Kenyan mwenye amepitia shule anaelewa English. Some may not be able to use it fluently in a conversation but trust moi, they understand. They get the messageSasa kwanini msitumie lugha yenu ya taifa pekee ambayo ndio inayoeleweka na wengi, hii habari ya mtu kufafsiriwa ndani ya nchi yake inakuaje?
Ni kweli kwa kiwango fulani. Kumbuka sio kila Mkenya amesoma. Ili mtu aelewe kingereza lazima awe na masomo ya kutosha. Pengine hadi darasa la sita, kwa kukisia tu, ila sio kila Mkenya amefika kiwango hicho cha masomo. Kumbuka kuhusu kiswahili kila mtoto wa miaka miwili au mitatu anakiongea bila shida. Halafu siku hizi watoto wanaongea kiswahili na kingereza bila kuongea lugha ya mama. Kwa mfano watoto wa jamii za Kenya kwa mfano ya kikuyu, Luhya, na nyingine hawajui kuongea lugha hizo. Ina uzuri wake na ubaya wake. Uzuri ni kuwa inapunguza ukabila, ubaya ni kuwa inatenga hao watoto kutoka kwa watu wao ambao pengine hawajui lugha nyingine isipokuwa ya mama. Kwa mfano babu au nyanya anayezungumza lugha ya mama pekee anaweza kosa kuelewana na mtoto anayezungumza kiswahili na kingereza pekee. Lakini katika sherehe za kitaifa hotuba rasmi hutolewa kwa kingereza halafu baadaye rais anatafsiri kwa kiswahili .
Kuna difference ya 'kuelewa' na 'kuzungumza'. Less that 50% ya kenyans are fluent but a huuuge number do understand English. They cannot speak but wanaelewa coz everything here is taught in English.Kama wakenya wanaoelewa kiingereza ni chini ya 50%, vipi rais na viongozi wengine wa serikali wanapotoa hotuba kwa taifa zima wanatumia kiingereza, ina maana wanawatenga wakenya walio wengi na kuwathamini wachache wenye kujua kiingereza?. Tukisema Kenya haiwajali wananchi wa ngazi za chini tunakosea?
Kwahiyo ndo unataka kusema nini?! Kwamba Wakenya Kiingereza ni your mothertongue language, au?! Angalia Kiingereza chenu kilivyo na strong accent... nini ile kama sio kuathiriwa na lugha zenu za asili halafu hapa unataka kufunga watu kamba kwamba mnaanza kuongea Kiingereza tangia mkiwa watoto wachanga?!Hauwezi ukaijua lugha bila kuitumia, tena ukubwani, yaani unakumbana na Kingereza kuanzia kidato cha kwanza, halafu haukitumii kwenye mawasiliano, hicho kidogo unachofundishwa kinakutoka mara moja.
Lugha yoyote ile lazima uitumie mara kadhaa ndio uje kuimudu. Mpo ovyoo sana kingereza watu wa ze ze ze, na hata Kiswahili uandishi wenu ovyoo sana.
Hamna lugha hata moja mliyoimudu, hadi zenu za asili, asilimia kubwa kati yenu hamjui hata salamu kwa lugha zenu za asili.
Hapa chini tunaona moja ya blogs maarufu Bongo ilikuwa inampa za uso mmoja wa Watanzania "asiyejua kuzungumza Kiswahili sawasawa"!Hashim Thabiti katika tangazo lake la kutetea tembo ni hajui kiswahili au maringo? - JamiiForums
We unamjua vipi? Ni nadra sana kumchambua mtuwww.jamiiforums.com
everyone has an accent kama si native language yake. I am sure swahili si native language yako