UGANDA: Jeshi la Polisi lakana kupiga marufuku mijadala ya umri wa kugombea Urais

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Taarifa zilizagaa nchini Uganda kuwa Jeshi la Polisi kupitia Mkuu wa Polisi, Kale Kayihura kuwa amezuia mijadala yote inayohusu umri wa kugombea urais nchini humo(Uganda) hasa ndani ya vyuo vya elimu ya juu.

Akizungumza na gazeti moja kiongozi huyo ndani ya Jeshi alinukuliwa akisema kuwa taarifa za kiintelijensia zimearifu kuwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani wamekuwa wakiwatumia vijana kuleta utata kuhusu mswada mpya wa umri wa wagombea.

Muswada mpya umelenga kuondoa kipengere kinachowakataza waganda waliovuka umri wa miaka 75 kugombea urais katika chaguzi za nchi hiyo.

Hata hivyo Jeshi la Polisi, kupitia msemaji wake Asan Kasingye wamekanusha taarifa hizo na kuongeza kuwa uzushi huo umelenga kuichafua taswira nzuri ya Mkuu wa Jeshi hilo.


ad835019-25e9-4847-9c4c-853f5b7d3ce0.jpg


=======

The Uganda Police Force has dissociated itself from reports that it has slapped a ban on debate on the alleged impending bid to lift the presidential age limit, which would allow candidates above 75 years of age to contest for the highest office in the land.

In a statement released today by Police spokesperson Asan Kasingye, the force says any reports carrying such suggestions are malicious and only intended to paint the force and IGP Gen. Kale Kayihura in bad light.

On Friday, a local publication reported that it spoke with Kayihura, who indicated he had banned the debate in universities. It further indicated Kayihura had alerted all commanders across the country to deal sternly with anybody discussing about age limit in schools, villages, and any public places. The report said Kayihura blessed debate only in Parliament.

But in a statement, Kasingye said: “We reject those assertions as wrong…The IGP did not use those words as alleged…As an officer who upholds and observes the rule of law in this country, he did not give any orders or instructions to any of his officers to ban public debates in universities as alleged”.

“In addition the Police are well aware that universities and tertiary institutions are learning environments, where open and robust expressive activities are highly promoted.”

“We do encourage universities to continue facilitating openly such expressive activities with total respect to the law,” the statement added.

The development comes at the time when there is heightened suspicion that some individuals want to smuggle a petition in Parliament to amend article 102 (b) of the Uganda Constitution that puts a cap on presidential age at 75.

If the amendment were successful, President Yoweri Museveni, who is 72, would legally be able to run in 2021.

The President has, however not publically indicated whether he is open to the idea of contesting after his current term comes to an end.

Source: New Vision
 
Museveni kweli ni 'Mwefrika'

Yeye Mwenyewe kwa hiyari yake baada ya kutawala sana akaweka Ukomo wa UongoZi kuwa uwe 70 years akiaminu akifika umri huo atakuwa kachoka, umri umefika ndio kwanza ari ya kutawala inaongezeka
 
Back
Top Bottom