uganda itakuwa nchi ya kwanza kupokea wakimbizi bara la asia kwa mgongo wa USA

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
tukianza kivuta picha kwa nini uganda inataka wakimbizi wa afghanistan.

utawala uliopo unaonyesha kuwa unaishi kwa kutegemea misaada tokea mwanzo.

afrika mashariki nchi ya uganda ndio inaongoza kuwa na wakimbizi wa nchi mbalimbali kwa idadi ya milioni na kitu.

je serekali ya uganda inafanya hivi kuongeza mapato
IMG_0029.jpg
 
Back
Top Bottom