Uganda issues Shoot to Kill orders for kenyan Pastrolists who cross the border into Uganda

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,310
7,464
Museveni hataki nyangau kwake. Angalau jiwe anawashika wavuvi na kuwashtaki pamoja na kuchoma vifaranga vilivyo na magonjwa kutoka kenya..

Hii amri ya museveni imepita mipaka afadhali uncle magu yeye na utu
====

A Ugandan minister has given a shoot-to-kill order against any Kenyan pastoralist who enters the country while armed.

The State Minister for Karamoja Affairs, Mr Moses Kizige, gave the order to Uganda People’s Defence Forces (UPDF) in Amudat during the celebrations to mark National Resistance Movement day on January 26.

He said that while the government had disarmed Karimojong warriors, their peace was being threatened by armed Pokot and Turkana cattle rustlers from Kenya and South Sudan.

“The government didn’t disarm the Karimojong to allow armed pastoralists from neighbouring countries to disturb them. We shall now start killing them to save the lives of our harmless people in Karamoja,” he said.
Mr Kizige, however, said that Uganda was ready to help disciplined neighbours.

The celebrations under the theme: “A moment of glory that set a new chapter for unity, peace and prosperity in Uganda,” were the first to be held in Amudat District.

Amudat Resident District Commissioner Robert Adyama urged leaders to respect national functions.
He said that through such functions, the public remained informed on government policies.

Source: Daily Monitor
 
Tusisahau Museveni ametaifisha kiziwa cha migingo..na kuzidisha akahamisha bomba la mafuta na kuwapea Tz, yaani huu urafiki upo upo tu..Sio wa kweli
 
Kwa iyo kwa akili yako kuwa Kenyan pastoralist are allowed to cross boarder freely, but cattle rustlers are targeted.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio, soma taarifa na maneno ya huyo waziri kwanza sio unaanza tu na comment yangu. Au umepumbazwa na kichwa cha mada ambacho hakiendani na taarifa? ..... any Kenyan pastrolist who enters the country while armed. Hao Karamajong walichofanya nikupokonywa bunduki zote na serikali ya Uganda, wao wenyewe walikuwa wanaingia Kenya kuiba mifugo na hadi wanaua. Hizi jamii tatu za Pokot, Turkana na Karamajong(U.G.) kwao wizi wa mifugo ni utamaduni wao. Tena kwao ni sifa, vijana wakifika umri wa kuwa wanaume lazima wakaibe, wakioa, hivyo hivyo.
 
Acha nikuelimishe, Pastrolists= Wafugaji. Cattle rustlers= Wezi wa mifugo. Acha wauliwe tu maanake hata wao pia huwa wanaua wakiwa kwenye shughuli zao za wizi.
in the paragraph below lies the puzzle! We know all Kenyan pastoralist in the North have guns! Subirieni maumivu! Waliwakomesha Migingo sasa wanaenda kuwakomesha Karamajong!

A Ugandan minister has given a shoot-to-kill order against any Kenyan pastoralist who enters the country while armed.
 
in the paragraph below lies the puzzle! We know all Kenyan pastoralist in the North have guns! Subirieni maumivu! Waliwakomesha Migingo sasa wanaenda kuwakomesha Karamajong!

A Ugandan minister has given a shoot-to-kill order against any Kenyan pastoralist who enters the country while armed.
Umekuja hapa mbio mbio kushehelekea habari hii sababu ni Mkenya ataumizwa?.....pole zako sababu sio mara ya Kwanza hao Wapokot na Updf kupana na habari wakaipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekuja hapa mbio mbio kushehelekea habari hii sababu ni Mkenya ataumizwa?.....pole zako sababu sio mara ya Kwanza hao Wapokot na Updf kupana na habari wakaipata

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wafugaji wa kipokot sio watu wazuri kabisa, nadhani ilifaa iwe 'disarmament' ya kwa pamoja, pande zote mbili za Kenya na U.G. Karamajong wa U.G ndio walikuwa wanawauzia waturkana silaha, ambazo wao walikuwa wanazitoa S.Sudan. Unavuka boda na ngombe mmoja unarudi na AK-47. Sasa wakaramajong wamepokonywa zao na wamebaki 'vulnerable'. Ni jambo nzuri kwamba mazoea yao ya kuingia Kenya kuiba mifugo ya wapokot yatapungua ila adui zao wa damu wapokot wanavopenda visasi utulivu wa kudumu kwenye mpaka hautapatikana hivi karibuni.
 
Hawa wafugaji wa kipokot sio watu wazuri kabisa, nadhani kulifaa kuwe na disarmament ya kwa pamoja, pande zote mbili za Kenya na U.G. Hawa Karamajong wa U.G ndio huwa wanawauzia waturkana Silaha, sasa wamepokonywa zao na wamebaki 'vulnerable'. Ni jambo nzuri kwamba mazoea yao ya kuingia Kenya kuiba mifugo ya wapokot utapungua ila wapokot wanavopenda visasi utulivu kwenye mpaka hautarudi hivi karibuni.
Mimi sikua na issue yoyote na hiyo habari lakini nilikua namjibu huyo kilaza,mchawi wa bongolala. Sababu furaha yake ni wakati wakenya wanaumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sikua na issue yoyote na hiyo habari lakini nilikua namjibu huyo kilaza,mchawi wa bongolala. Sababu furaha yake ni wakati wakenya wanaumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa jombaa, nilikuwa naunga mkono hoja yako kwamba wapokot wanafahamiana vizuri na UPDF. Alafu hawa jamaa, wafugaji kutoka mpaka wa Kenya na UG huwa wanabadilika kama kinyonga. Mara waketi kwenye vikao wale nyama na wakubaliane wote kusitisha uvamizi alafu usiku huo huo unasikia wezi wameiba ngombe wa waturkana, kesho yake unasikia wapokot wameibiwa.
 
Hapa kunashida sababu hao bandit kutoka pokot ni vichwa maji na tena kifo ni kitu cha kaiwada sana kwao.....sasa itabidi wasuruhishe haya mambo na waganda bila ya vita sababu raia wa mipakani ndio wataumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama mtu apo na bunduki, suluhu sio kupiga risasi..Huu ni unyama wa ajabu..Tanzania hata ukipatikana na mabomu unapelekwa kortini unajibu mashtaka..Yaani Magufuli ni mtu aliye na utu rohoni yake..Hawezi toa amri kama hii akilenga binadamu kama yeye
 
Kweli kabisa, kuna siku Jiwe alisikia kwamba kuna vifaranga vimetiwa moto pale Namanga aisee alihuzunika sana hakula kwa siku tatu. Hata zile habari za bill kubwa ya Tundu Lissu pale hospitalini Nairobi ilimpa vidonda vya Tumbo. Mzee ana roho nyeupe kama pamba ni kama malaika aliyetua duniani dakika hii hii kutoka mbinguni.
 
Kweli kabisa, kuna siku Jiwe alisikia kwamba kuna vifaranga vimetiwa moto pale Namanga aisee alihuzunika sana hakula kwa siku tatu. Hata zile habari za bill kubwa ya Tundu Lissu pale hospitalini Nairobi ilimpa vidonda vya Tumbo. Mzee ana roho nyeupe kama pamba ni kama malaika aliyetoka mbinguni.
Hizo ni vifaranga zilizo na magonjwa hatari, Hizo Jiwe alizitia moto hapohapo..wanyama wagonjwa hauwezi linganisha na Roho ya binadamu..
JPM alitoa pole zake kwa yalio mpata tundu lissu..lakini moyo wake sio wa kipekee eti alie lie miezi sita huku watu 200 wakifariki ziwa victoria sababu ya bad ferry management..Lazima kwanza anyooshe mambo yanayo wagusa wengi
 
Kweli kabisa yaani huyu mzee ni kama nabii ama messiah vile akiwasalimia vipofu wanaona, akiongea viziwi wanasikia mashetani nayo yakimuona yanazirai.
 
Kweli kabisa yaani huyu mzee ni kama nabii ama messiah vile akiwasalimia vipofu wanaona, akiongea viziwi wanasikia mashetani nayo yakimuona yanazirai.
Yes, he will go down in history like the great men of the world in the same class as nelson mandela, Abraham lincon, Martin luther king jr.. But if you think he is a messiah is same as believing mandela was the jesus of africa..thats foolish and beneath intellectuals
 
Back
Top Bottom