Uganda: Hongera Mzee Museveni kwa kumsaidia Rais Magufuli kuelewa na kujibu maswali ya Waandishi

Status
Not open for further replies.

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Waganda ndo maana nyakati sengine wanamupenda Musee yao...Mzee Museveni ni mwungwana mno na Afrika Mashariki laiti tungekuwa na Wazee kama hawa basi leo tungepiga hatua kidogo kimaendeleo.

Rais wetu alipata shida kidogo kuelewa na hata wakati mwingine kujibu maswali ya waandishi hasa lile la Mzungu aliyemwuliza ni kwa kiasi gani inahitajika kukanyaga haki za msingi za raia ili kukomesha rushwa...kwanza Rais hakulielewa swali japo alichukua kalamu kuliandika...ndipo hapo Rais Museveni alipomfafanulia kilichosemwa na yule Mzungu na pia kumsaidia kujibu.

Na kwa watakaopata clip nzima, mwangalieni Waziri Kabudi...kuna wakati ameinamisha uso wake chini na kuufunika kwa mikono yake mithili ya mtu asiyeamini anachokisikia kutoka kwa boss wake, au anajisikia aibu, au anatamani kingesemwa kwa weledi zaidi.

VIDEO:



Narudia kusema, Thank you Muzee M7 kulinda hadhi ya Rais wetu, na wakati wote wewe ulionesha heshima kumwita rais wetu "His Excellence" japo ye mwenzako hata mara moja hajakutambua hivo, kazi unayo:p

Kuna vitu TBC hawawezi kutuonesha LIVE...Na kwa hali hii naona SAFARI YA ULAYA BADO SANA, OR NEVER!

FULL PRESS: Magufuli na Museveni walivyojibu maswali ya waandishi wa habari.
 
Ndo maana mliitwa WAPUMBAVU NA MALOFA na mzee Mkapa., jana ulikuwa unamnanga M7 pamoja na Kagame na Nkurunziza kuwa ni madikteta, leo unadai laiti kungekuwa na wazee kadhaa kama M7 East Africa, ndo maana huwa hatushangai kwanini mlizungusha mikono na kudeki barabara pamoja na kutangaziwa miaka zaidi ya saba na viongozi wenu kuwa lile ligombea lenu ni FISADI papa.
 
Waganda ndo maana nyakati zingine wanampenda Muzee yao...Mzee Museveni ni mwungwana mno na Afrika Mashariki laiti tungekuwa na Wazee kama hawa basi leo tungepiga hatua kidogo kimaendeleo.

Rais wetu alipata shida kidogo kuelewa na hata wakati mwingine kujibu maswali ya waandishi hasa lile la Mzungu aliyemwuliza ni kwa kiasi gani inahitajika kukanyaga haki za msingi za raia ili kukomesha rushwa...kwanza Rais hakulielewa swali japo alichukua kalamu kuliandika...ndipo hapo Rais Museveni alipomfafanulia kilichosemwa na yule Mzungu na pia kumsaidia kujibu...

Narudia kusema, Thank you Muzee M7 kulinda hadhi ya Rais wetu, na wakati wote wewe ulionesha heshima kumwita rais wetu "His Excellence" japo ye mwenzako hata mara moja hajakutambua hivo, kazi unayo:p

mkuu its normal kutoelewa swali ndio maana mtu aanaweza ku rephrase....kurudia n.k

kingine magu hatakiwi kujua kiingereza!! anatakiwa kuwa rais

ndio maana kafunga mirija yote unaumia sasa!! unakuja kwa kejeli.....
 
Halafu sasa swali lenyewe lingekuwa rahisi sana kwa Magufuli kwa sababu huyo mzungu haelewi kinachoendelea Tanzania.

Haki za raia zinazokanyagwa sio za watuhumiwa wa rushwa.

Wapinzani wanaoandamwa, kukamatwa na kuuawa sio kwa kesi za rushwa. Nyumba zinavunjwa sio kwa kigezo cha kupigana na rushwa. Wakosoaji wa mitandaoni wanaokamatwa sio kwa kigezo cha rushwa na wabunge wanaoongelea takwimu za uchumi na kukamatwa haijawahi kusemwa wanatuumiwa kwa rushwa.

Swali la mzungu is ill informed.

Haki zinakandamizwa kwa kisingizio cha uchochezi. Magufuli anajua anachemka, he is in over his head (kiuwezo, hii kazi inamzidi kimo), anaogopa kukosolewa ndio maana ana circumscribe all opposition and trample over civil rights. Simple as.

Nothing to do with his anti corruption campaign.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom