Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,443
- 4,384
Waganda ndo maana nyakati sengine wanamupenda Musee yao...Mzee Museveni ni mwungwana mno na Afrika Mashariki laiti tungekuwa na Wazee kama hawa basi leo tungepiga hatua kidogo kimaendeleo.
Rais wetu alipata shida kidogo kuelewa na hata wakati mwingine kujibu maswali ya waandishi hasa lile la Mzungu aliyemwuliza ni kwa kiasi gani inahitajika kukanyaga haki za msingi za raia ili kukomesha rushwa...kwanza Rais hakulielewa swali japo alichukua kalamu kuliandika...ndipo hapo Rais Museveni alipomfafanulia kilichosemwa na yule Mzungu na pia kumsaidia kujibu.
Na kwa watakaopata clip nzima, mwangalieni Waziri Kabudi...kuna wakati ameinamisha uso wake chini na kuufunika kwa mikono yake mithili ya mtu asiyeamini anachokisikia kutoka kwa boss wake, au anajisikia aibu, au anatamani kingesemwa kwa weledi zaidi.
VIDEO:
Narudia kusema, Thank you Muzee M7 kulinda hadhi ya Rais wetu, na wakati wote wewe ulionesha heshima kumwita rais wetu "His Excellence" japo ye mwenzako hata mara moja hajakutambua hivo, kazi unayo
Kuna vitu TBC hawawezi kutuonesha LIVE...Na kwa hali hii naona SAFARI YA ULAYA BADO SANA, OR NEVER!
FULL PRESS: Magufuli na Museveni walivyojibu maswali ya waandishi wa habari.