Uganda Govt denies pulling out of SGR deal with Kenya

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,356
7,992
1541009103113.png

Ugandan President Yoweri Museveni’s government has denied reports of abandoning the construction of a Standard Gauge Railway (SGR) line connecting the country with Kenya.

According to the country’s Minister of Works and Transport, Monica Azuba, Uganda is on track and will not backtrack on its plan to connect the region through a railway line.

Speaking to the press in Kisumu when she paid a courtesy call at the headquarters of the Lake Victoria Basin Commission (LVBC), Ms. Azuba said 90 per cent of the cargo going to Uganda from Kenya is through the road which is relatively slower.

“I want to refute this in strong terms, Uganda is very much on track with the Standard Gauge Railway (SGR). The SGR is very important to our country… it is really to cut down the travel time for our cargo between Mombasa and Kampala,” said the minister.

She further stated that the actual construction of the railway had not yet started but the process is at an advanced stage delayed only by failure to sign the deal with the financier on time.

“We have not started on the actual construction but we have done everything to be ready to start on the construction; we have a contractor, consultant, and the financing mode in place,” she added.

https://citizentv.co.ke/news/ugandan-govt-denies-pulling-out-of-sgr-deal-with-kenya-217059/
 
View attachment 917272

😂😂😂😂😂😂 Panic mode inaitwa. Hii ni habari kutoka Kenya source. We cant trust it😂😂😂😂😂😂
 
unaumwa sana:D:D:Dkiherehere haitawahi kumpeleka mtu popote....mlirukia habari za viherehere mkaanza kukurupuka kabla ya kupata confirmation from UG govt and ministry of infrastructure haswaa...sasa ndio hio habari imetoka kule mnaumwa
 
unaumwa sana:D:D:Dkiherehere haitawahi kumpeleka mtu popote....mlirukia habari za viherehere mkaanza kukurupuka kabla ya kupata confirmation from UG govt and ministry of infrastructure haswaa...
Tumekupatia source kutoka Uganda. Uganda newspaper (standard) Huko nyinyi mumeanza kuweka fake news. We know you lead in fake and cooked news. The reality iko hapa😂😂😂
 
The group of witches and wizards,sadist and propagandists will soon swallow the bitter pill,
kuna kitu nimegundua from media ya Kenya..wana kiherehere sana....huwa hata hawajitumi kuconfirm habari...huwa wanakimbilia tu kuandika na kutweet bila confirmation yoyote...mfano, hizi fununu zilianza from one newspaper but in 24 hours kila mtu tayari alikuwa ameandika column kuihusu bila hata ya kuconfirm from the UG govt directly...watz nao wachawi wa JF wakapata habari na kuleta humu...narudia, kiherehere haitawahi kumpeleka mtu popote
 
Hii ni Newspaper ya Kenya, Tanzania au Uganda😂😂😂😂
IMG_20181030_093945.jpg
 
kuna kitu nimegundua from media ya Kenya..wana kiherehere sana....huwa hata hawajitumi kuconfirm habari...huwa wanakimbilia tu kuandika na kutweet bila confirmation yoyote...mfano, hizi fununu zilianza from one newspaper but in 24 hours kila mtu tayari alikuwa ameandika column kuihusu bila hata ya kuconfirm from the UG govt directly...watz nao wachawi wa JF wakapata habari na kuleta humu...narudia, kiherehere haitawahi kumpeleka mtu popote
Sasa boss if you cant trust your own media who are we to refute this
 
ukweli ndio huo....kenyan media huwa wanakurupuka sana...I think ni competition ndio imekuwa kali sana haswaa ukiangalia siku hizi pia activitsts na bloggers kama akina Alai wanaandika habari na kupublish mitandaoni...sasa imekuwa ni competition ya who will write about it first kabla ya kuandika factual information...thats the brutal truth and as a Kenyan I have to aknowledge that
 
kuna kitu nimegundua from media ya Kenya..wana kiherehere sana....huwa hata hawajitumi kuconfirm habari...huwa wanakimbilia tu kuandika na kutweet bila confirmation yoyote...mfano, hizi fununu zilianza from one newspaper but in 24 hours kila mtu tayari alikuwa ameandika column kuihusu bila hata ya kuconfirm from the UG govt directly...watz nao wachawi wa JF wakapata habari na kuleta humu...narudia, kiherehere haitawahi kumpeleka mtu popote
The real fact is that Uganda hawezi jenga Reli kwenda Malaba bila nyinyi kufika Malaba. Hata mkifika Kisumu bado atangonjea ya Malaba. Hicho ndicho waganda wanata. Lasivyo wataiyelekeza reli South Sudan😂😂😂 Source yako from "Citizen" the media which leads in propaganda in East Africa.😂😂😂
 
kuna kitu nimegundua from media ya Kenya..wana kiherehere sana....huwa hata hawajitumi kuconfirm habari...huwa wanakimbilia tu kuandika na kutweet bila confirmation yoyote...mfano, hizi fununu zilianza from one newspaper but in 24 hours kila mtu tayari alikuwa ameandika column kuihusu bila hata ya kuconfirm from the UG govt directly...watz nao wachawi wa JF wakapata habari na kuleta humu...narudia, kiherehere haitawahi kumpeleka mtu popote
Ile news ilianzia kwenye gazeti la Ug siyo la Kenya.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
kuna kitu nimegundua from media ya Kenya..wana kiherehere sana....huwa hata hawajitumi kuconfirm habari...huwa wanakimbilia tu kuandika na kutweet bila confirmation yoyote...mfano, hizi fununu zilianza from one newspaper but in 24 hours kila mtu tayari alikuwa ameandika column kuihusu bila hata ya kuconfirm from the UG govt directly...watz nao wachawi wa JF wakapata habari na kuleta humu...narudia, kiherehere haitawahi kumpeleka mtu popote
So you want us to trust your source?? Sisi hatuamini Kenyan media hadi tutapo pata ya Uganda😂😂😂 The real source from the Ugandan media hii hapa. Zaidi yahapo kafe na Citizen yako😂😂😂
IMG_20181030_093945.jpg
 
ukweli ndio huo....kenyan media huwa wanakurupuka sana...I think ni competition ndio imekuwa kali sana haswaa ukiangalia siku hizi pia activitsts na bloggers kama akina Alai wanaandika habari na kupublish mitandaoni...sasa imekuwa ni competition ya who will write about it first kabla ya kuandika factual information...thats the brutal truth and as a Kenyan I have to aknowledge that
Nmependa ulivyojibu...ila sijui kwanini tupo busy kwe kuchambuana nani hafanyi hivi and all that badala ya kufikiri kuzidi ungana....nchi zinazoendelea zinazidi ungana sisi ndo twazidi tafuta njia ya kutengana all in all nadhan its abiut time tuanze fikiri kama wanafrika mashariki na kutoa hizi mambo ya utanzania na ukenya...mawazo yangu lakin
 
true....ni jambo nzuri nchi zinapoungana ila sidhani kama ushindani kati ya kenya na tz unaweza kuisha kabisa...itakuwa ngumu kidogo haswaa ukizingatia hizi ni nchi ambazo zinapigania utawala wa afrika mashariki na pia biashara za nchi landlocked za afrika mashariki...
 
Back
Top Bottom