Uganda Gives Kenya 14-Days Ultimatum To Release Confiscated Lato Milk

W
Wacha tukae juu ya kichwa cha Uganda. Si wewe ndiye uliyesema kuwa Uganda wanaweza kupambana na Kenya? Sasa mbona unalialia tunapozaba Uganda makofi?
Mnakaa kichwani kwa Uganda kwa kuzuia bidhaa zao " illegally? ", try that to Tanzania muone kitakachowakuta, Jaguar aliporopoka ujinga, Kenya nzima ilitikisika na kulazimisha Uhuru kwenda Chato bila kupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Which Brand?
Which Middle East?
The Last time I checked Kenya imports powdered milk than any other East African country
Turkiye and Nigeria are the biggest consumers of powdered milk from Kenya, KCC and Brookside. Kuingiza powdered milk nchini Kenya ni challenge kibiashara kwasababu Kenya ilianza kutoza import duty ya 67% miaka mitano iliyopita.
 
Uganda wachunge sana maana 80% ya import yao inapitia Kenya.
Bila shaka lazima wawe makini na uhusiano wao na Kenya. Rwanda imefunga mpaka wake na kila siku wanalialia kila sehemu kwamba imeathiri sana biashara yao, sasa sijui kenya ikiamua kuwahujumu sijui itakuaje!!! Babu Mateke FM in charge of regional cooperation wa Uganda nadhani haijui kazi yake vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Turkiye and Nigeria are the biggest consumers of powdered milk from Kenya, KCC and Brookside. Kuingiza powdered milk nchini Kenya ni challenge kibiashara kwasababu Kenya ilianza kutoza import duty ya 67% miaka mitano iliyopita.
Wacha ujinga hii maneno

haiku-materialize!

Dangote is monopolizing Nigerian market

Dangote Group to Begin Milk Production in 2019
Milk-Production-Africa.jpg

https://umaizi.com/dangote-group-to-begin-milk-production-in-2019/#
One of Africa’s largest conglomerates, Dangote Group has confirmed plans to commence dairy farming in 2018, with milk production to begin in 2019.

The manufacturing conglomerate is looking to invest about $800 million in the production of milk, the company’s Group Executive Director Mr. Edwin Devakumar told Bloomberg in an interview this week.

He revealed that the group is fine-tuning plans to grow its agro-sector business interests in the coming years and would look to invest about $4.6 billion towards achieving this expansion drive.

Part of this massive, agri-focused expansion plan includes a $3 billion investment in boosting its sugar and rice production across Africa. It plans to grow its sugar production capacity substantially to 1.5 million tonnes, from its current 100,000 tonnes. Rice production capacity will also grow by 1 million tonnes.

Dangote is reportedly also keen on investing about $4 billion in its cement business—its most profitable interest—over the same period as it seeks to consolidate its position as one of the continent’s biggest cement producers.

The company would be expected to raise such massive funds via debt or capital, or a mix of both. The Dangote Group is one of Africa’s largest conglomerates with interests in cement manufacturing, agriculture, soft drinks, and oil.

Footprint to Africa Copyright 2017

Bila shaka lazima wawe makini na uhusiano wao na Kenya. Rwanda imefunga mpaka wake na kila siku wanalialia kila sehemu kwamba imeathiri sana biashara yao, sasa sijui kenya ikiamua kuwahujumu sijui itakuaje!!! Babu Mateke FM in charge of regional cooperation wa Uganda nadhani haijui kazi yake vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ndiyo itakayopoteza zaidi sio Uganda, kumbuka kwamba Uganda ni somo kubwa kwa bidhaa za Kenya, na Uganda ndiye mtumiaji mkubwa wa bandari ya Mombasa.

Uganda inaweza kuamua kutumia bandari ya Dar na Tanga, na inaweza kununua bidhaa toka nchi zingine kama Tanzania na nchi za kusini mwa Africa. Kumbuka kwamba ni rahisi kupata bidhaa toka nchi zingine, lakini sio rahisi kupata soko jipya, endapo Uganda itaacha kutumia Bandari ya Mombasa, na kuzuia DRC kupitisha bidhaa zako, hiyo bandari ya Mombasa itakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka lazima wawe makini na uhusiano wao na Kenya. Rwanda imefunga mpaka wake na kila siku wanalialia kila sehemu kwamba imeathiri sana biashara yao, sasa sijui kenya ikiamua kuwahujumu sijui itakuaje!!! Babu Mateke FM in charge of regional cooperation wa Uganda nadhani haijui kazi yake vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app

80 yrs old grand pa atawezaje kufanya majukumu yake vzr wkt muda huo alitakiwa awe anacheza na wajukuu zake.,nguvu zimeshaisha.

dodge
 
Wanafik katika ubora wao. Mbona maziwa ya Kenya mliyapiga marufuku huko Tz? Naona mnarukia na kiherehere na chuki zenu kwenye masuala ambayo hayawahusu. Huu mvutano wa kibiashara kati ya Kenya na Uganda sio jambo la kufurahisha hata kidogo. Ila haina budi kwasababu wakulima wa Kenya nao wameliamsha, na wana haki ya kusikizwa, ukizingatia ripoti ya kamati ya kilimo ambayo ilifika hadi Uganda hivi majuzi. Hebu tuangalie facts kama zilivyo. Kenya kwa sasa inazalisha lita 5.6 billion za maziwa, kwa mwaka. Wakenya wanatumia lita 5.17 billion. Surplus inabaki lita 430 million! Ongeza juu yake lita 122 million ambazo zinaingia Kenya kutoka nchi zingine, ndani na nje ya ukanda huu. Waganda wanazalisha lita 67 million tu, maziwa ambayo hayawezi yakatosheleza hata soko la ndani Uganda. Ila mwaka wa 2019 lita 154 million za maziwa ziliingizwa Kenya kutoka UG. Hesabu hazibalance hata kidogo.
But you should also know that there are some products produced in Uganda but still the government allows importation of the same goods from Kenya.
 
Back
Top Bottom